Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlima 'jw' imalinganishwa na kichuguu'tom'
Wilshere ni zaidi.
Mimi si mshabiki wa man u wala arsenal,bali namkubali huyu kijana anaujua mpira zaidi ya Cleverly
we soka lenyewe inaonekana huwa unasimuliwa.mlima kwa lipi hasa?hiyo kuvizia timu ina cheza na s'ton sijui stoky city ndo aonyeshe kiwango?kama unafuatilia mpira kweli niambie mechi ya big four aliyofunika JW msimu huu!!!!
jana umeshuhudia wote walikua tim ya taifa jana eee, au bado utendeleza unazi wako..
Jack ni habari nyingine kumlinganisha jack na tom ni sawa kulinganisha kifo na usingizi.
ikiwa ww ndo kocha wa england na una nafasi 1 tu ya kiungo imebaki na una machaguo mawili tu aidha kumchezesha jack 10 au cleverly embu niambie nani utamuweka na kwa sababu gani
jana umeshuhudia wote walikua tim ya taifa jana eee, au bado utendeleza unazi wako..
Jack ni habari nyingine kumlinganisha jack na tom ni sawa kulinganisha kifo na usingizi.
Kaka weka u-fans pembeni, JW kamwacha kwa mbali sana Tom, Wilshere ana vitu vingi than Tom
friendly match!!!!angalia mechi za mashindano kubwa kama tano hivi ulinganishe kiwango chake then ufanye tathmini mkuu.hujawahi ona mchezaji anatamba kombe la dunia anasajiliwa kwenye timu kubwa anaenda kuchemsha???do u think wachezaji wa taifa stars wako juu kiviwango kuliko cameroon?ndo maana nimechalenji kama kuna mtu anaweza niambia mechi japo moja ya big four epl ambayo dogo alicheza kwa kiwango kama cha jana.
Oscar wa Chelsea is the on the top of the two
Oscar is not English......
Hata huyo Oscar jana alikuwepo wakati Jack Boy akitajwa kuwa MoTM
ikiwa ww ndo kocha wa england na una nafasi 1 tu ya kiungo imebaki na una machaguo mawili tu aidha kumchezesha jack 10 au cleverly embu niambie nani utamuweka na kwa sababu gani