La Biblicana
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 556
- 343
Nimetoa hoja based on swali na muanzisha thread..na quote
Nilikuelewa na hoja nimeielewa. Nimesema hivyo nikimaanisha hata Oscar (japo si Muingereza) alipiga salute kwa JW jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoa hoja based on swali na muanzisha thread..na quote
tofauti yao ni kwenye mechi kubwa.kama uliangalia mechi za Arsenal na timu za big four like na liva,chelsea,man city,man u utakubaliana na mimi kuwa kwenye hizo gemu JW huwa anapotea kabisa tofauti na TC.JW msubiri kwenye mechi na timu za kati na chini kwenye msimamo wa ligi ndo utamsikilizia raha yake.may be its due ya mentality ya team.man u kwa mfano haina wachezaji wenye majina kiviiile but wanapambana sana uwanjani hadi sekunde ya mwisho.