Jack wilshere na Tom cleverly nani mkaliii

Jack wilshere na Tom cleverly nani mkaliii

jack ni habari nyingine,ni ngumzo kwa wataalamu wa mpira dunian.
 
Jack10 ni mkali,Dogo anajua mpira,seems not to be carried away by fame like other british player,...they came to see neymar,left talking abt jack10..hehe
 
tofauti yao ni kwenye mechi kubwa.kama uliangalia mechi za Arsenal na timu za big four like na liva,chelsea,man city,man u utakubaliana na mimi kuwa kwenye hizo gemu JW huwa anapotea kabisa tofauti na TC.JW msubiri kwenye mechi na timu za kati na chini kwenye msimamo wa ligi ndo utamsikilizia raha yake.may be its due ya mentality ya team.man u kwa mfano haina wachezaji wenye majina kiviiile but wanapambana sana uwanjani hadi sekunde ya mwisho.

game na barcelona na hii ya juzi na brasil zilikuwa timu ndogo pia??
 
Bahati mbaya wote nyota zao zimezimika kama umeme wa LUKU
 
Back
Top Bottom