Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Huyu binti sijui kama anaelewa au aelewi kwa sheria za United Kingdom kama mmoja wa wazazi wako ni raia wa hiyo nchi wewe ni raia moja kwa moja ata kama umezaliwa nje ya nchi (labda sasa ajichuze kuzaa bila ya kuchukua haki zake za uraia kwanza ndio kajiaribia).
Sasa badala ya huyu Jackie Cliff yeye na ndugu zake kutanga tanga bongo wapiganie haki zao za kuingia UK.
Kama anapenda shughuli za upunda wapo watu wa kumlipia ticket za kwenda Santa Dominica; akawabebe mizigo yao ata huko.
Hila kwa kumsikiliza sidhani kama anaelewa ya kuwa baba yake being Scottish; yeye automatically ni raia wa UK hiyo passport ni yake hakuna wa kumnyima.
Hivi hawa watoto hakuna watu wakuwashauri.