Jackline Cliff amwandikia barua Millard Ayo toka Gerezani

Wacha anyee debe *****! unapeleka unga kwa wacheza kalate? nina wasiwasi na jux alikuwa anahusika na hiyo bsns
 
Mbona kwenye hiyo barua hakumsalimia Le Mutuz?
 
Miaka 6 jela tangu agosti 2014..inamaana may be mpaka agosti 2020,kama atatoka basi namshauri awahi kurudi kuja kupiga kura napo sidhani maana atakua hana kitambulisho cha kupigia kura..

Punda mzoefu huyo,mzigo wote huu ulikua tumboni
PipializokutwanazoJackPatrick.jpg

HIVI HIZI KETE ZINAINGIZWA VIPI NA ZINATOLEWA VIPI HUKO TUMBONI,Hayo MATUNDU SI YANAKOMA!!!!!!!!!,!,!,
 
Hivi huyu vipi kuhukumiwa huko inatosha? Akirudi bongo hana kesi ya kujibu tena? Cc. Kamanda Nzowa
 
POLE SANA dadaa u will be out someday nilichofurahi ni ww kuomba msamaha na kutokua na kinyongo na wapendwa wako waliokukimbia.
pia ungewaasa vijana waTZ kutofanya yale ww uliyoyafanya. sikujui ila msg yako imenigusa jacky
 
Nilikuwa naona hii KAZI inashine sana mjini, nikawa najiuliza nani anaihudumiaaaaa, kumbeeeeee.....
 
Miaka 6 jela tangu agosti 2014..inamaana may be mpaka agosti 2020,kama atatoka basi namshauri awahi kurudi kuja kupiga kura napo sidhani maana atakua hana kitambulisho cha kupigia kura..

Punda mzoefu huyo,mzigo wote huu ulikua tumboni
PipializokutwanazoJackPatrick.jpg

HIVI HIZI KETE ZINAINGIZWA VIPI NA ZINATOLEWA VIPI HUKO TUMBONI,Hayo MATUNDU SI YANAKOMA!!!!!!!!!,!,!,
Kwani jela si uwa wanahesabu day and night as ni siku mbili??? I min ikifika asubuhi ni sku ya kwanza and usiku ni siku ya pili?? So mins miaka 6 ni mitatu kwa day and night au inakuaje mi iwa naelewa ivo na kama n ivo soon atatoka nahis kma anaaanda mazingira ya akirudi apate kiki kama vile shujaa katoka vitani kumbe amna kitu
 
Mkuu hiyo sharia ya day and night ni siku mbili ni hapa kwa Magufuli tu...Kule sio Segerea au Keko...miaka 20 ni miaka 20 effectively.Ila nadhani kuna baadhi ya nchi pia inafanya kama Tz
 
Barua isomwe kwenye media kwa ajili ya wa Tz, lakini sijaona any dedication kwa Watanzania. Kulikuwa na vitu vya msingi vya kuandika otherwise, sijaona jipya.
Mnh!! We mwananchi kumbe upo humu humu jamvini... aisee!!!
 
Hapa Tanzania tarehe zinahesabiwa kawaida, hakuna cha hesabu ya mchana na usiku.
Kinachofanyika ni magereza kupewa robo ya kifungo cha mtu! Yaani mfungwa asipofanya kosa kubwa akiwa ndani ya gereza basi ataachiwa anapofika asilimia 75 ya kifungo.
Yaani kama kahukumiwa miaka 8 basi anaachiwa akimaliza miaka 6.
Kwani jela si uwa wanahesabu day and night as ni siku mbili??? I min ikifika asubuhi ni sku ya kwanza and usiku ni siku ya pili?? So mins miaka 6 ni mitatu kwa day and night au inakuaje mi iwa naelewa ivo na kama n ivo soon atatoka nahis kma anaaanda mazingira ya akirudi apate kiki kama vile shujaa katoka vitani kumbe amna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshatoka kidampa yuko ktk jiji la mama Samia.
 
Back
Top Bottom