Jackline Mengi: Nawapenda sana wamachame

Nakumbuka kabla ya mzee kuanza kuumwa dada nilikuwa namuona Kama Michelle Obama hivi...maana alikuwa matawi hasa!! Sasa hivi amekuwa mswahili haswa
Alikua wa evening tea na cake 🍰
 
Ashasema HATOKUBALI KUSHINDWA... ATAKATA RUFAA...

Sasa kituo kinachofuata ni DNA za Mapacha na shughuli itakuwa mbuzi kufia sufuriani kwa mama lishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu shopping zake ni Dubai na Turkey huko...hanunui fekero labda kuanzia Sasa baada ya dili la wosia kubuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo leo unajua kunivunja mbavu. Wallah
 
Kwani hao wamachame wenyewe wanasemaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Huyu dada ni kabila gani??? Ilikuakuaje akashawishika kuolewa na mchagga!!! Pesa ama nini!!!! Ila wapo baadhi yao wana imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…