Jackline Mengi: Nawapenda sana wamachame

Jackline Mengi: Nawapenda sana wamachame

Nakumbuka kabla ya mzee kuanza kuumwa dada nilikuwa namuona Kama Michelle Obama hivi...maana alikuwa matawi hasa!! Sasa hivi amekuwa mswahili haswa
Alikua wa evening tea na cake 🍰
 
Hiyo itakuwa ni Ile og mamilooo
1621627654184.jpeg
 
Ashasema HATOKUBALI KUSHINDWA... ATAKATA RUFAA...

Sasa kituo kinachofuata ni DNA za Mapacha na shughuli itakuwa mbuzi kufia sufuriani kwa mama lishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu shopping zake ni Dubai na Turkey huko...hanunui fekero labda kuanzia Sasa baada ya dili la wosia kubuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo leo unajua kunivunja mbavu. Wallah
 
Kwani hao wamachame wenyewe wanasemaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu ulizaa na mzee angalau mjini na wewe utaonekana sasa hiviView attachment 1792866

Huyu dada ni kabila gani??? Ilikuakuaje akashawishika kuolewa na mchagga!!! Pesa ama nini!!!! Ila wapo baadhi yao wana imani.
 
Back
Top Bottom