PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Celebrity relationships kuachana ni sehemu ya breaking news kwa fans..
ngumu kudumu.....wengi hudumu wakiwa kwenye spotlight....umaruufu ukipungua
wanaachana......
Kuna wanasaikolojia waliwahi kueleza insecurities za watu maarufu
umaarufu ndo kama drugs yao....
ukipungua tu ni ngumu kwao kuwa happy na yeyote
so victim wa kwanza anakuwa mpenzi....
wanakuwa so miserable.....ndo maana kila kitu wana share...
hata akiwa anaumwa ata post yuko hospitali...
insecurities zinawasumbua