Jackline wolper kaachwa tena?

Jackline wolper kaachwa tena?

Yani duh ila wanaume wana mioyo, ingekua ni wanawake ndo wameshare hivo ingekua kivumbi
Hii inahitaji moyo wa chuma...sitegemei kuwa hawa walikuwa na malengo ya mbele.............
 
NYIMBO YA DARASA IMEWACHANGANYA,WANA SHOW TAREHE 24 KWA HIYO HII NI SEHEMU YA KICK,MAANA HATA MTOTO KAZALIWA LAKINI WATU WAKO BIZE NA MAISHA NA MUZIKI YA DARASA..DUH
 
Ni kwa malipo, salio alilolipia Harmonize limeisha inatakiwa alipie tena haba liendelee.
 
Hawa bongo movie si wa kuwaamini kunawengine wanatuaminisha waliigiza ujauzito wakijificha kwenye uigizaji huenda wameshusha .... huyu naye anapitia njia yake..., wacha wasake riziki maana kampeni tena hadi 2020
 
Aje kwetu watu wazima hatalia milele sisi tumetulia tuli na hela tunazo aachane na watoto
 
_20170529_072128.JPG
 
Celebrity relationships kuachana ni sehemu ya breaking news kwa fans..
ngumu kudumu.....wengi hudumu wakiwa kwenye spotlight....umaruufu ukipungua
wanaachana......

Kuna wanasaikolojia waliwahi kueleza insecurities za watu maarufu
umaarufu ndo kama drugs yao....
ukipungua tu ni ngumu kwao kuwa happy na yeyote
so victim wa kwanza anakuwa mpenzi....

wanakuwa so miserable.....ndo maana kila kitu wana share...

hata akiwa anaumwa ata post yuko hospitali...

insecurities zinawasumbua
Exactly
 
View attachment 446891
Na huwa anajua kumwaga chozi kweli kweli, shilawadu wanasema sio chozi la nchi hii.....
Kama hiyo tetesi ni ya kweli itabidi tu arudi migombani akalishe ng'ombe vijana wa mjini wana kazi ya kumfunua na kumfunika utadhani wanacheza kamari.
Behind the scene kuna nini mbona kuachwa sana......
 
Back
Top Bottom