Jackline wolper: Natamani kuolewa

Jackline wolper: Natamani kuolewa

Acha povu nawewe kwani umekula omo?? Haya kijana wake yupi tena?

Hhhhaa basi mwenzio sijisikii kabisa kumuongelea wolper, yaan Menina muda utafikaaaa tu unamjua domo unamsikiaaaa
 
Nakumbuka sana,Mungu akaamua kuwaumbua.Haya maisha rafiki yangu acha tu! Sijui wema anajisikiaje?maana mapenzi yanaumiza vibaya,mi nilitendwa vibaya nisingekuwa na roho ngumu ningejiua na mpaka leo mi mwanaume simpendi mpaka rohoni wala simuamini.

Ndio hivyo na Daimond akiona unamzidi ujanja anakupiga chiniii kwi kwiiiiiiiii
 
zamda

Menina anajikanisha anawaogopa team Wema lakini kawaambia kua bila upambe hawali kwi kwiiii
 
Last edited by a moderator:
Haya,si tuko bize na menina,wema na ndomo huyo wolper utajuana nae mwenyewe.

Basi Wema nae ajishughulishagee sasa hiv mkongo anampa tuhela hela halaf mi namuona anazeeka atii au macho yanguu wema
Nae ndoa anaitaka kama huyu chakubimbi msagajii
 
Basi Wema nae ajishughulishagee sasa hiv mkongo anampa tuhela hela halaf mi namuona anazeeka atii au macho yanguu wema
Nae ndoa anaitaka kama huyu chakubimbi msagajii

kuna umri ukifika lazima uitamani ndoa,hizo hela sasa angefanyia kitu cha maana kionekane na abadilike. Kuzeeka lazima miaka inaenda halafu anatumika sana kwa nini asizeeke.
 
Back
Top Bottom