mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Chezea utamu wa dushe...
Mwenyezi Mungu mwenyewe alikua na maana yake kuumba Me na Ke
Santee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chezea utamu wa dushe...
Mwenyezi Mungu mwenyewe alikua na maana yake kuumba Me na Ke
Anaitwa callisah,ni modo flani hivi...alikua na mwanamke mwingine kamuacha karudi kwa wolper..dada wa watu aliumia kama nini masikini!!!
Acha povu nawewe kwani umekula omo?? Haya kijana wake yupi tena?
Nakumbuka sana,Mungu akaamua kuwaumbua.Haya maisha rafiki yangu acha tu! Sijui wema anajisikiaje?maana mapenzi yanaumiza vibaya,mi nilitendwa vibaya nisingekuwa na roho ngumu ningejiua na mpaka leo mi mwanaume simpendi mpaka rohoni wala simuamini.
Ana uhakika ameshajua kusafisha papuchi???yasijetokea yale ya Dallas ndoa ikaota mapembe...
Ndio hivyo na Daimond akiona unamzidi ujanja anakupiga chiniii kwi kwiiiiiiiii
Galisa au calisa
Huyu domo nae utadhani anazo mbili.
Hhhhaa basi mwenzio sijisikii kabisa kumuongelea wolper, yaan Menina muda utafikaaaa tu unamjua domo unamsikiaaaa
Anazo mbili dudu au ninii??
dudu ndio.
Mguu wa mtoto ni kama anazo mbili tuuu si unajua ni sukari ya warembooo
basi kweli wako pamoja,wema sasa afanye yake naye hee.
Haya,si tuko bize na menina,wema na ndomo huyo wolper utajuana nae mwenyewe.
Basi Wema nae ajishughulishagee sasa hiv mkongo anampa tuhela hela halaf mi namuona anazeeka atii au macho yanguu wema
Nae ndoa anaitaka kama huyu chakubimbi msagajii
uuwii na kule kukauka mwili lazima awe na ndunga kubwa mwili wote umehamia chini.
Hahaaaa uwiiii