hawa ndo wangestahili hata kuzawadiwa v8 kwa utumishi wao badala yake eti Shimbo ndo anapewa v8 ...Mungu amtangulie.amen
Bila kutafuna maneno Marehemu Kighoma Ali Malima ni waziri wa kwanza wa Elimu TZ aliebadilisha mfumo wa majina kwenda mfumo wa namba ktk mitihani ya sekondari baada ya kugundua ubaguzi na uchujaji wizarani!
Huyu ni Waziri bora kabisa alieiongoza Wizara ya elimu miaka ya 80 na kuleta mageuzi makubwa ktk wahitimu na kusababisha lawama kubwa toka upande wa pili na kumshinikiza Rais Mwinyi kumbadilishia Wizara!
You mean that he was supposed to be a minister during Mkapa era?This is sad. He Jakson Makweta was a rare "brand". I once introduced myself to him and when he wondered who was I? I told him he need not wonder as I new him from when I was a kid and am proud of his services as a senior citizen of this country. We had a good laugh. Unfortunately it was during the time that he was sidelined for the reasons that Mkapa and Sumaye know better.
I meant he Jackson Makweta R.I.P was left out of Mkapa's cabinet unceremoniously....You mean that he was supposed to be a minister during Mkapa era?
Ni aliyekuwa mbunge wa huko Njombe na waziri katika serikali ya awamu ya kwanza na ya pili Mhe. Jackson Makwetta amefariki dunia jioni ya leo.
Alazwe pema peponi
Chanzo: Ndugu wa karibu na marehemu.
Mzee huyu alikuwa ni miongoni mwa viongozi wachache wa CCM waliotumikia taifa lao kwa uadilifu na kwa uzalendo wa hali ya juu, akiwa waziri wa serikali kwa miaka 25 mfululizo (1975 - 2000), lakini hakuna mahali alitumia vibaya madaraka yake kwani inasemekana kwamba hata nyumba ya kuishi nje kidogo ya jiji la Dar-es-salaam alijengewa na wanae kabla ya kustaafu na hata hivyo haikukamilika ipasavyo; na katika kipindi karibia chote cha ustaafu wake alikuwa anaishi kwao kijijini;
Lakini kwa vile serikali yetu ya CCM haijali watu kama hawa, msiba wake utaendeshwa kinafiki tu; Misiba yenye kupewa uzito ni ile ya viongozi wasiokuwa wazalendo ambao utashi wao unapimwa kwa utajiri wao; Lakini ipo siku yote haya yatabadilika;
Poleni wafiwa; Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi Mzee wetu Makweta, Amen;
Eti kwetu Njombe, huu ni unafiki mbona mlimnyima ubunge katika uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM 2010? Mnamkumbuka wakati amekwishatangulia mbele ya Mwenyezi Mungu? Kweli wengi mtakwenda motoni kwa unafiki wenu. R.I.P ya dhati Makweta.
Eti kwetu Njombe, huu ni unafiki mbona mlimnyima ubunge katika uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM 2010? Mnamkumbuka wakati amekwishatangulia mbele ya Mwenyezi Mungu? Kweli wengi mtakwenda motoni kwa unafiki wenu. R.I.P ya dhati Makweta.
kwani sasa si mna madam speaker si na yeye anafanya makubwa tu ndugu yanguKijijini kwetu tunamkumbuka sana kwa jinsi alivyopigana kiume mpaka tukapata barabara na RTC enzi hizo akiwa mbunge wa njombe ( Ludew,Makete,Wanging`ombe zilikuwa bado kumegwa). Kweli watu wazuri wanakufa yanabaki manung`ayembe yanayotuhangaisha.
Kwa njombe, alipigania elimu sana kupitia NDDT, shule zikafunguliwa kwa wingi. Mungu amekupenda zaidi.
RIP MAKWETA.
Ni kwa sababu alikuwa mbunge kwa muda mrefu na hakutumia uwaziri wake kuiba mali ya umma ili kupeleka miradi ya maendeleo kwa wananchi kwa fedha za ufisadi kama wenzake waliokamata nyadhifa hizo;
kwani sasa si mna madam speaker si na yeye anafanya makubwa tu ndugu yangu