Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Yawezekana Ana kibamia kwa nn asipate mtoto wakati Ana umbo la chotara?
 
Umenikumbusha Gwajima, '' mi nazaa Kimwili na kiroho ''
 
Sasa kama jogoo anaweza Kuna wenzetu hawawezi, lakini kwa Gwajima unaombewa na kupona kwa uwezo wa Roho Mtakatifu
 


Ukweli mchungu Bashite anatema povu tu, na Mungu aendelee kumlaani maana nchi yetu inaenda kombo kwaajili ya ushawishi wake kwa baba jesca, asemalo huwa ,akimchukia mtu au mfanyabiashara atajuta .

Mungu mnyang'anye hata hilo povu dushe lisisimame kabisa
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] sio vyema kumuombea binadamu mwenzako mabaya hata kama ni mkosaji.
 
Acha kufikiri kibashite bashite, dhihaka hapo iko wapi???? Mungu wa Gwajima ndiyo kanipa watoto mimi. Nawaelekeza mahali alipo YESU KRISTO halafu weee unasema dhihaka. Bure kabisaaaa weee.........
Ujinga mtupu, yani Gwajima ndio kakupa watoto?
 
Jamaa kaoa tangia 2002...... Tatizo linaweza kutatuliwa... serio bado jamaa anapokea sim za shamsha ford? jamaa kuna kipindi alikuwa anakubania sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…