Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
tehe tehe tehe hamnaMkuu ulipigaga topic ya calculus advance ama chuo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehe tehe tehe hamnaMkuu ulipigaga topic ya calculus advance ama chuo?
Weeeeeeeeeeeeee una matatizo wewe. Bure kabisaaaa......ndo nakwambia hivi umeshasikika, na hao unaowadhihaki pia Mungu wao amekusikia
AsanteWeeeeeeeeeeeeee una matatizo wewe. Bure kabisaaaa......
Umenikumbusha Gwajima, '' mi nazaa Kimwili na kiroho ''Kuna watu sijui wana akili gani, yaani unageuza matatizo ya mwenzio kichekesho? Wewe umejaaliwa vyote? Tuache kufuru jamani!! Wewe unayejisifu unazaa kazi yako ni kutia mimba kila binti mjini kama kibeberu cha kijiji halafu unakimbia majukumu ya kutunza watoto. Kuzaa majukumu na mtu kuitwa BABA maana yake ni kuwajibika sio kumwaga zigo lako na kula kona. Kutia mimba pekee hata jogoo anaweza.
Sasa kama jogoo anaweza Kuna wenzetu hawawezi, lakini kwa Gwajima unaombewa na kupona kwa uwezo wa Roho MtakatifuKuna watu sijui wana akili gani, yaani unageuza matatizo ya mwenzio kichekesho? Wewe umejaaliwa vyote? Tuache kufuru jamani!! Wewe unayejisifu unazaa kazi yako ni kutia mimba kila binti mjini kama kibeberu cha kijiji halafu unakimbia majukumu ya kutunza watoto. Kuzaa majukumu na mtu kuitwa BABA maana yake ni kuwajibika sio kumwaga zigo lako na kula kona. Kutia mimba pekee hata jogoo anaweza.
huwa sielewi mtu anapoleta dhihaka na masikhara kwenye swala la mtu mwingine kukosa mtoto, huyo makonda yes anamapungufu yake na msemeni kwa hayo sio kumdhihaki kwa kukosa mtoto, aliekupa wewe ndo aliemnyima yeye, na hata alipokuwa hakukupa na mkataba kwamba wako wewe wataishi milele na utaendelea kuwapata
Ohooooo!!!mnafiki kweli huyuu..kamla Odama weee...akamla na Shamsa Ford...!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtumbo umejaa mafuta lazima team kibamia
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] sio vyema kumuombea binadamu mwenzako mabaya hata kama ni mkosaji.Ukweli mchungu Bashite anatema povu tu, na Mungu aendelee kumlaani maana nchi yetu inaenda kombo kwaajili ya ushawishi wake kwa baba jesca, asemalo huwa ,akimchukia mtu au mfanyabiashara atajuta .
Mungu mnyang'anye hata hilo povu dushe lisisimame kabisa
Ujinga mtupu, yani Gwajima ndio kakupa watoto?Acha kufikiri kibashite bashite, dhihaka hapo iko wapi???? Mungu wa Gwajima ndiyo kanipa watoto mimi. Nawaelekeza mahali alipo YESU KRISTO halafu weee unasema dhihaka. Bure kabisaaaa weee.........
Labda nimjibie uliyemtusi, kila mwanaume na mwanamke aliyekamilika na hajawahi kutendwa ana hisia na ashiki. Kama wewe huna genye pengine marinda yana matatizouna genye ww
Inategemea unatakaje na unataka wapi!Wangapi wanaweza kuafford hiyo IVF?
Ni sawa. Lakini bado ni gharama kwa mtanzania wa kawaida sana.Inategemea unatakaje na unataka wapi!
Kuchukua mbegu za mmoja wenu ambaye yupo fiti na kuchanganya na mbegu za donor ili mtoto apatikane angalau katika familia yenu na either bilogical mother or father tofauti na adoption ambapo mtoto anakuwa na neither bilogical father nor motherNdio nn hiyo?