kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Kila kitu ni kujaribu na kujipanga. I can tell you it is cheaper than adoption kwani unaweza kuwa umetegewa na mtoto akikua akajua biological wazazi anakukimbiaNi sawa. Lakini bado ni gharama kwa mtanzania wa kawaida sana.
nimejiuliza hili swali ,nikaona nipite kimya!Wangapi wanaweza kuafford hiyo IVF?
"I think u r lucky " watoto wa nini sasa waje kumuita magufuli fifth president " u r soo lucky ur kids don't know this evel idiot.....Mwigizaji wa bongo movie Jacob Steven JB akihojiwa kwenye kipindi cha kikaangoni amefunguka kuhusu maisha yake na kusema ameoa lakini mpaka sasa hajabarikiwa kupata mtoto lakini ana furaha tele
Amedai pia ameokoka na hana mchepuko katika maisha yake kwa kuwa anaamini kuwa na wanawake wengi kunakuletea mabalaa katika maisha
Unajua unaposema "cheap" inatofautiana kati ya mtu na mtu. Ninavyofahamu IVF ni mil10 na kuendelea au chini ya hapo kidogo. Kama kuna sehemu ambayo ni chini ya mil2 naomba kuelekezwa. Mil2 ni kubwa lkn mtu unaweza ukazitafuta kwa haraka, lakini pia mil2 hiyo hiyo ni gharama mno kwa mtanzania wa kawaida, kuna watu hawafikirii hata kuishika.Kila kitu ni kujaribu na kujipanga. I can tell you it is cheaper than adoption kwani unaweza kuwa umetegewa na mtoto akikua akajua biological wazazi anakukimbia
na bado anaishi kwa mama yake pale Sinza Mori... aiseee
Kama linakuhusu huwezi kupita kimya, ni bora ukauliza ila tupeane mauzoefu. Hakuna haja ya kuogopa kwani unaweza kutumia nduguyo akawa surrogate baadala ya kutafuta mtu wa kumlipa ikapunguza gharama kama mama ndiye hawezi kuileanimejiuliza hili swali ,nikaona nipite kimya!
wewe unaongelea dunia ipi!Kama linakuhusu huwezi kupita kimya, ni bora ukauliza ila tupeane mauzoefu. Hakuna haja ya kuogopa kwani unaweza kutumia nduguyo akawa surrogate baadala ya kutafuta mtu wa kumlipa ikapunguza gharama kama mama ndiye hawezi kuilea
unao wangapi sasa?Mungu niepushe na hili tatizo MAMA yangu kanizaa peke yangu natamani kumpatia wajukuu sio chini ya kumi
daahh!!pole sana!!Mungu niepushe na hili tatizo MAMA yangu kanizaa peke yangu natamani kumpatia wajukuu sio chini ya kumi
Duu!! Mkuu sikuona vizuri kumbe hapo yuko ndani ya kiyoyozi, sasa nishaanza kuwa na wasiwasi na haka kasimu kangu hiki kioo kinaonyesha vitu ambavyo sio kabisa, itabidi nikiuza pamba ninunue kasim kangineJoto kwako tu
Fikiria kwenye gari, nyumbani na ofisini ni full kiyoyozi,
Ningekuwa nao wawili sema magrlfriend wangu hawakuwa waaminifu walitoa mimbaunao wangapi sasa?
hehehehehe duuuuh mchumba ulikuwa unamshikia miguu nini..mnafiki kweli huyuu..kamla Odama weee...akamla na Shamsa Ford...!!!
unatoa mimba? huji kupata tenaNingekuwa nao wawili sema magrlfriend wangu hawakuwa waaminifu walitoa mimba
Kabisa yani sijiingizi katika mambo mabaya ya kuathiri future yangu na kumuathiri MAMAdaahh!!pole sana!!
hapo waonekana kama jichoo
Sio mimi nliyetoa magirlfriend Wangu ila me bado mdogo stillunatoa mimba? huji kupata tena
KaribuAsante
Nimeandika Mungu wa GwajimaUjinga mtupu, yani Gwajima ndio kakupa watoto?