Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Ni sawa. Lakini bado ni gharama kwa mtanzania wa kawaida sana.
Kila kitu ni kujaribu na kujipanga. I can tell you it is cheaper than adoption kwani unaweza kuwa umetegewa na mtoto akikua akajua biological wazazi anakukimbia
 
Mwigizaji wa bongo movie Jacob Steven JB akihojiwa kwenye kipindi cha kikaangoni amefunguka kuhusu maisha yake na kusema ameoa lakini mpaka sasa hajabarikiwa kupata mtoto lakini ana furaha tele
Amedai pia ameokoka na hana mchepuko katika maisha yake kwa kuwa anaamini kuwa na wanawake wengi kunakuletea mabalaa katika maisha

"I think u r lucky " watoto wa nini sasa waje kumuita magufuli fifth president " u r soo lucky ur kids don't know this evel idiot.....
 
Kila kitu ni kujaribu na kujipanga. I can tell you it is cheaper than adoption kwani unaweza kuwa umetegewa na mtoto akikua akajua biological wazazi anakukimbia
Unajua unaposema "cheap" inatofautiana kati ya mtu na mtu. Ninavyofahamu IVF ni mil10 na kuendelea au chini ya hapo kidogo. Kama kuna sehemu ambayo ni chini ya mil2 naomba kuelekezwa. Mil2 ni kubwa lkn mtu unaweza ukazitafuta kwa haraka, lakini pia mil2 hiyo hiyo ni gharama mno kwa mtanzania wa kawaida, kuna watu hawafikirii hata kuishika.
Adoption ina changamoto zake pia.
 
nimejiuliza hili swali ,nikaona nipite kimya!
Kama linakuhusu huwezi kupita kimya, ni bora ukauliza ila tupeane mauzoefu. Hakuna haja ya kuogopa kwani unaweza kutumia nduguyo akawa surrogate baadala ya kutafuta mtu wa kumlipa ikapunguza gharama kama mama ndiye hawezi kuilea
 
wewe unaongelea dunia ipi!
HEBU ACHA KUNIZINGUA!
SURROGATION NA IVF ni dhana fikirika sana kwa aina ya tecknolojia tuliyonayo,jamii tuliyonayo,tamaduni zetu tu,aina ya maisha kwa watanzania walio wengi ,mimi nikiwa mmoja wao!

so kama kwenye dunia yako uliyopo inawezekana na ni kitu cha kawaida,hapa si hivyo!
SO USITUMIE NGUVU SAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANA KUNIELEWESHA!
 
Mtoto/watoto ni zawadi toka kwa Mungu ipo siku yake atajaaliwa tu hiyo neema.

Apunguze uzito na kufuata ushauri wa madaktari kwani najua huzuni lazima iwepo ndani ya moyo.

IVF hii ni expensive sana wenye kuafford ni wachache sanaaa

Kuadopt ni ngumu kwasababu watz wengi tuko na Extended family unachukua mtoto kwa njia njema tu usumbufu wa hapa na pale lazima ujitokeze
 
Joto kwako tu
Fikiria kwenye gari, nyumbani na ofisini ni full kiyoyozi,
Duu!! Mkuu sikuona vizuri kumbe hapo yuko ndani ya kiyoyozi, sasa nishaanza kuwa na wasiwasi na haka kasimu kangu hiki kioo kinaonyesha vitu ambavyo sio kabisa, itabidi nikiuza pamba ninunue kasim kangine
 
Back
Top Bottom