Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Acha kufikiri kibashite bashite, dhihaka hapo iko wapi???? Mungu wa Gwajima ndiyo kanipa watoto mimi. Nawaelekeza mahali alipo YESU KRISTO halafu weee unasema dhihaka. Bure kabisaaaa weee.........
Ndo mnavyofundishwa na gwajima hivyo kuzihaki watu?
 
Mungu ampe Mtoto

Kukosa mtt kinaleta huzun sana

Sio huzuni kwa wote. Ndio maana wengine wanazaa wanawatupa.
Wengine walizaa bila kupanga huko utotoni ila hawawataki kabisa watoto wao.
Na wengine hawataki tu kuwa na watoto kwa sababu hawataki tu.
 
Siijui familia alimokulia JB, na anavyosema kukosa mtoto hakumpi shida na ana raha zote, nashawishika kuamini kwamba JB hana dada.
Ivi sisi binadam bhn... Sio kila alichokujalia Mungu wote wamepewa. Hata kama dada anae ndio atafanyaje sasa
 
Fanya upate wa kwako km wanne hivi
Niko mbioni sema sa hivi nina mambo mengi sana sijatulia mda wa kukaa na mwanamke kama ndoa bado na kuzaa na wanawake tofauti sio vizuri ntajitafutia lawama bure umri Wangu unaniruhusu kuoa kuzalisha na kuacha naogopa
 
Jaman jaman ja Jaman uwiiiiiiiieee auwiiiiiiiiieie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…