Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa kupata mtoto mpaka sasa, sijawahi kuwa na mchepuko

Acha kufikiri kibashite bashite, dhihaka hapo iko wapi???? Mungu wa Gwajima ndiyo kanipa watoto mimi. Nawaelekeza mahali alipo YESU KRISTO halafu weee unasema dhihaka. Bure kabisaaaa weee.........
Ndo mnavyofundishwa na gwajima hivyo kuzihaki watu?
 
Mungu ampe Mtoto

Kukosa mtt kinaleta huzun sana

Sio huzuni kwa wote. Ndio maana wengine wanazaa wanawatupa.
Wengine walizaa bila kupanga huko utotoni ila hawawataki kabisa watoto wao.
Na wengine hawataki tu kuwa na watoto kwa sababu hawataki tu.
 
Siijui familia alimokulia JB, na anavyosema kukosa mtoto hakumpi shida na ana raha zote, nashawishika kuamini kwamba JB hana dada.
Ivi sisi binadam bhn... Sio kila alichokujalia Mungu wote wamepewa. Hata kama dada anae ndio atafanyaje sasa
 
Fanya upate wa kwako km wanne hivi
Niko mbioni sema sa hivi nina mambo mengi sana sijatulia mda wa kukaa na mwanamke kama ndoa bado na kuzaa na wanawake tofauti sio vizuri ntajitafutia lawama bure umri Wangu unaniruhusu kuoa kuzalisha na kuacha naogopa
 
Jaman jaman ja
Mi najibu matusi unayoandika kwa sababu mimi huwa situkani. Kwa mfano hapo umeniita mk**und**u kwa kugeuza herufi na kujiona mjanja. Mi nakujibu hivi, hiyo ni last part of alimentary canal ambapo faeces hutoka nje. Kama una maana mimi nafanana na hapo basi Mungu ni fundi sana kwa kuniumba hivyo
Jaman uwiiiiiiiieee auwiiiiiiiiieie
 
Back
Top Bottom