Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very soon huyo hata udiwani tu awe Mayar wa DarSiku mtasikia Mzee wa Msoga naye anautaka ubunge
Mwaka huu ni mwaka wenye chaguzi nyingi zaidi duniani kuliko wakati mwingine wowote ule!
Mwezi ujao India watakuwa na uchaguzi utakaodumu kwa siku 44!
Uingereza nao baadaye mwaka huu watakuwa na uchaguzi mkuu ambapo wanaelekea kumpasta waziri mkuu mpya, Sir Keir Starmer.
Funga kazi itakuwa Jumanne, Novemba 5, ambapo super bowl la chaguzi zote duniani litafanyika Marekani katika rematch kati ya Sleepy Joe Biden dhidi ya Donald J. Trump.
Hii ndo siku dunia nzima itasimama kuangalia mpambano utakaompata kiongozi ajaye wa Marekani, na by default, kiongozi wa
Indio mlivyohubiriwa kanisani kwenu?Siku mtasikia Mzee wa Msoga naye anautaka ubunge
Zuma huyu tunayemfahamu?Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea kupitia uMkhontho weSizwe (MK), chama kipya kilichosajiliwa karibuni kikitumia jina la Jeshi la msituni la zamani la ANC wakati wa kupigania Uhuru. Juhudi za ANC kutumia mahakama ili kuzuia usajili wa MK zimegonga mwamba baada ya mahakama kutupilia mbali hoja zao.
Huyo huyoZuma huyu tunayemfahamu?
View attachment 3225232
Umemuelewa anachokisema hapoHuyo huyo
😀Ngoja nitulie nisikilize
😂😂😂 kachomekewaZuma huyu tunayemfahamu?
View attachment 3225232
Akanasa😂😂😂 kachomekewa