Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dagaa+kisamvuJackie na uzao wake wameokota dodo chini ya mnazi. Yan wana uhakika wa kuishi raha mustarehe maisha yao yoote. Vyakula kama dagaa na kisamvu wataishia kuviona kwenye TV tu!
Hahahahhaha...you made my daykumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 katika comments zote hii ndio imenivunja mbavu kwa kweliNot bad kwa mtu kuibusu ATM yake...eti ujumbe mzito!
kumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
Kwani ana safari ya wapi hadi afikishweHivi huyu mzee kweli kwa afya yake aliyonayo saiv anamfikisha huyu mtoto kweli???
Hahahaha.....nooma saanakumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbukeni hadi Klyn kufikia hapo alianza na mtaji wa 3500 na hakukata tamaa
Ha haa! Mboga gani kuila tu unajisikia kichef chef, huwezi nikuta nakula dagaa nikiwa na pesa.Dagaa+kisamvu
Kwa maskini ni laana
Kwa tajiri ni tiba
Kwangu ni uboreshaji wa afya yangu
Hujui kuwa kisamvu na dagaa ndo vyakula vitamu sana?Jackie na uzao wake wameokota dodo chini ya mnazi. Yan wana uhakika wa kuishi raha mustarehe maisha yao yoote. Vyakula kama dagaa na kisamvu wataishia kuviona kwenye TV tu!
Alikua za kifukara hizi,kwa hiyo ukiwa tajiri hauli dagaa?Jackie na uzao wake wameokota dodo chini ya mnazi. Yan wana uhakika wa kuishi raha mustarehe maisha yao yoote. Vyakula kama dagaa na kisamvu wataishia kuviona kwenye TV tu!
Tajiri atafte nini kwenye dagaa!Alikua za kifukara hizi,kwa hiyo ukiwa tajiri hauli dagaa?
NumbisaHuyu ndo boss lady orijino unaambiwa hakutegemea wanaume kabisaaaaaa sio kama akina naniii aiseeee