Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

Pesa ndio unafiki wa kwanza siwezi msemea lakini pasipo pesa huyo mengi angemfuata kumtongoza angepewa matusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha mungu niepushe na unafiki huu
Nalo neno [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ha haa! Mboga gani kuila tu unajisikia kichef chef, huwezi nikuta nakula dagaa nikiwa na pesa.
By the way, kisamvu ni mboga ya makaburini. Ushawahi ona shamba la kisamvu? Kisamvu huwa kinalimwa makaburini. Ukiona shamba la kisamvu ujue hilo ni la mihogo. Sio kisamvu cha mboga.
Jamani usitukatishe tamaa hao dagaa nawapenda ajabu. Ukiniwekea na ugali pembeni kisamvu mmhh utanifurahisha hasa dagaa wa Kigoma. Umenitamanisha!
 
Pamoja na Pesa ila mzee hapo hachukui raundi tako 5 chalii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama Sabrina nahisi ungepata nafasi ya kupewa tongozo na huyu Mzee sifa za G zisingekuwepo humu

Ila umeongea point[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
G atazipata tu kama za mzee Mengi wala sijali ananimudu
Yap mzee akijitahidi tako 10 chali
 
Licha ya pesa jamani tuseme ule ukweli ukiwa na unaye endana naye kwa umri usio zidi sana, inapendeza kusema ule ukweli sasa vijana sijui mnakuwa wapi mpaka babu zenu wanabeba warembo mnaishia ku comment tu humu, [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Jackie na uzao wake wameokota dodo chini ya mnazi. Yan wana uhakika wa kuishi raha mustarehe maisha yao yoote. Vyakula kama dagaa na kisamvu wataishia kuviona kwenye TV tu!
Au watakula kwa ajili ya amu tu
 
Licha ya pesa jamani tuseme ule ukweli ukiwa na unaye endana naye kwa umri usio zidi sana, inapendeza kusema ule ukweli sasa vijana sijui mnakuwa wapi mpaka babu zenu wanabeba warembo mnaishia ku comment tu humu, [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jacque alijitambua. Kaona the coming 50yrs. Mapenzi haya umri.
 
Not bad kwa mtu kuibusu ATM yake...eti ujumbe mzito!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] my ribs [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Horseshoe Arch huna maana kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Licha ya pesa jamani tuseme ule ukweli ukiwa na unaye endana naye kwa umri usio zidi sana, inapendeza kusema ule ukweli sasa vijana sijui mnakuwa wapi mpaka babu zenu wanabeba warembo mnaishia ku comment tu humu, [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Maisha hayoko fair sometimes huwezi nielewa labda ngoja nitafute njia nzuri ya kufikisha ujumbe
 
Back
Top Bottom