mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa mjinga na boya kama wewe court rule unifundishe mimi?
Unajua hata chanzo cha utajiri wa Mengi?[emoji23][emoji23] wewe ni Muha wewe. Machame hatoki boya
Kama umesoma kweli.
Rudi tena shule.
Kwenye sheria hakuna kupanic Bali hoja kwa hoja.
Angalia tena elimu yako.
Watu wanaangalia maisha wewe unaangalia elimu kwanza hapo tuko tofauti mimi na wewe wewe endelea kuangalia hiyo elimu na hizo hoja za sheria kampe jack ashinde kesi
Kwani nini maana ya kampuni? Kinachokushangaza ni nn akina regina kuwa na hisa 25%? Watu toka vidunchu ni vijasiriamali. Halaf kuhusu mali unasahau mke ndo source eh?[emoji23][emoji23] mjue munanichekesha sana? Hivi mtu akikupeleka mahakamani maana yake ninj? Wacha kiwake. Wagawane nusu hisa za mengi? Kiaje? Hujui ziko formula ama? Jacky hawezi pata sawa na watoto. Watoto watagaiwa equally halafu jacky atakula asilimia ndogo. Hakuna cha ulafi. Jacky ndo mlafi. Na yeye ndo aliyataka haya yote. Very lucky born town aliingilia kati. Kuna mtu angekua ananyea debe saa hizi hapaSasa bhasi hizo Asilimi 37.5% ilibidi jack agawane nusu kwa nusu na watoto wa mengi alafu yeye asimamie hisa za wanae.. Sema pia hao watoto wa Mengi ni walafii sanaaa kama walishapata za Mama yao ambazo kimsingi katafuta baba yao why wawe warohoo wakutaka na hizo zilizobaki kwa baba yao wakati baba yao alishawapa Urithi wa zile percent 25??? Ulafi ulafii tuu
Mutie unamfahamu? Mercy unamfahamu? Reginad mengi unamfahamu? Abdiel unamfahamu? Rejina unamfahamu? Benjamin unamfahamu? Kwenye hilo kundi waliokufa ni mecry, mutie na mengi wamebaki ben, abdiel na rejina hao ndio picha halisi ya ipp na makampuni tanzu yake na mshauri mkuu alieachwa kulinda watoto wa familia hiyo ni mzee jakaya kikwete nikurahisishie kazi kidogo
Na hili suala la jk kubaki kusimania hii family ndo imeharibu kiila kitu. Tungemuona madamme wa tea part segerea[emoji23] busara my foot...Mutie unamfahamu? Mercy unamfahamu? Reginad mengi unamfahamu? Abdiel unamfahamu? Rejina unamfahamu? Benjamin unamfahamu? Kwenye hilo kundi waliokufa ni mecry, mutie na mengi wamebaki ben, abdiel na rejina hao ndio picha halisi ya ipp na makampuni tanzu yake na mshauri mkuu alieachwa kulinda watoto wa familia hiyo ni mzee jakaya kikwete nikurahisishie kazi kidogo
sasa ana nini kilichomfanya apate pesa zaidi ya sehemu za siri? nini kingine anaweza kuweka mezani zaidi ya hizo? asingezaliwa nazo angekuwa uganda huko anauza matoki barabarani.Zari huyuhuyu?
Ewaaaah. Yaaan tungeona shoo kali ile mbayaaa. Angenyooshwa mtuNa jack ashukuru jakaya alitetea mzee aje azikwe tu watoto wakubwa walidemand uchunguzi ufanyike wa kina sababu za kifo ni nini moto uliwaka basi tu ingekua wanajua mambo ya wosia wangekomaa nae hadi mwisho suspect namba moja anajulikana mambo yalitakuwa yatembee hivo sema busara uchwara ndio zimelifikisha hapo suala hilo
Kwani nini maana ya kampuni? Kinachokushangaza ni nn akina regina kuwa na hisa 25%? Watu toka vidunchu ni vijasiriamali. Halaf kuhusu mali unasahau mke ndo source eh?[emoji23][emoji23] mjue munanichekesha sana? Hivi mtu akikupeleka mahakamani maana yake ninj? Wacha kiwake. Wagawane nusu hisa za mengi? Kiaje? Hujui ziko formula ama? Jacky hawezi pata sawa na watoto. Watoto watagaiwa equally halafu jacky atakula asilimia ndogo. Hakuna cha ulafi. Jacky ndo mlafi. Na yeye ndo aliyataka haya yote. Very lucky born town aliingilia kati. Kuna mtu angekua ananyea debe saa hizi hapa
Nakupa wewe mkuu. Kigoma hawajambo?wewe nimekuuliza wewe na mmeo umeshawapa asilimia zao watoto wenu?
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Mwanamke ana nguvu so what?kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi.
uenda hata leo mengi akifufuka atalalamika kwanini wosia wake haufuatwi.hatujui mengi na jack walipeana Nini mpaka wakaandikiana ule wosia.yote kwa yote mwanamke ANA NGUVU.
Wewe ulikuwepo mkuu?wakati mengi na jack wanaoana ulikuwepo?namaanisha kwenye ndoa
Nakupa wewe mkuu. Kigoma hawajambo?
Wewe ulikuwepo mkuu?
Si ninekupa wewe mkuu? Tatizo liko wapiKwa hyo una furahia wenzio kugawa Mali zao mapema.ila wewe hautaki kugawa.
Wanazo siku hata wakati Wazazi wao wote bado wapo hai,unadhani wamefanya kazi kwenye Makampuni bure tu?Elimu kidogo 25% za watoto wakubwa wamezipataje?
Sijakuwepo. Wewe ulikuwepo comoro?unataka na wewe nikuache utulize akili au utajibu nilichokuuliza?