Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

ingekuwa safi kama vifaa anavyoweka ndani haviishi muda wake yaani never xpiry, ila mzee ana kazi nae sana huyu mtoto
 
Si mengi wala Jaq watoe mil 68 kununua mkoba kama huo, hauwezi kizidi laki.
 
jamani nimecheka haaaa haaaa hjaaaaa
Nadhani wewe ni mgeni wa hii dunia, umeshuka hapa kama sio Jana basi leo asubuhi, karibu sana kwenye hii dunia ya Mzungu. .. Hapa kila kitu kinawezekana kaka sijui huko utokako hali Ikoje. ... wanapotea twiga sembuse kamkoba! Haahaahaaahaaaa!
 
Sasa mtu na pesa zake ananunua mkoba imara wa nini, ina maana huo mkoba anataka autumie milele? Bora angenunua hii ya kariakoo akawa anabadilisha kila wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah, nakumbuka mistari ya 50cent

" i get what the phuck i want, so what i trick

fat a55 BIRKIN bags , some classy 5shit

jimmy choo shoes , i say 'move' , a byatch move"
 
Back
Top Bottom