Elewa kwanza nilichomaanisha, magari ya Ikulu yanafanana na magari mengine yaliypo nchini, kiasi kwamba hata akiiba kifaa kitakiuzwa kwa wenye magari kama haya sasa kama una model ya gari ambayo nchini haipo, ukitaka spare ni lazima uagize Japan, Kibaka akiiba spare au gari zima atamuuzia nani ? Kumbuka magari yakiiibiwa hubalishwa rangi na kuendelea kutembea, unaweza kukutana nalo usilifahamu, lakini kama hakuna gari lingine la aina hiyo nchini kwenu au ni machache sana, litafichwa wapi ? Hata huo mkoba ni vivyo hivyo, maana ni wa pekee, mkeo akiununua atadakwa tu.