Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Wanaume wanabishania pesa Za mwanaume mwenzao

[emoji252] [emoji479]
Truth be told dearest, few people makes the world go around so it's definitely worth it discussing them considering the fact of their inspiration.
 
Yani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana

Sasa kuna mkoba wa kike unaitwa birkin ambao unatengenezwa na kampuni ya hermes ya nchini ufaransa ambao unatajwa kuwa ni miongoni ya mikoba ya kike yenye gharama zaidi duniani

Mkoba huo sasa unamilikiwa na mjasiriamali na mfanyabiashara Jacqueline N Mengi na kwa mujibu wa mtandao wa eboy mikoba hiyo bei ni dola$ 26500 ambayo ni sawa na tsh milion 68

Sifa kubwa ya mikoba hiyo ni kwamba inatengenezwa kwa ngozi ya mamba na ina ubora usio na mashaka na pia hata ukubwa wa brand ya hermes ambayo inatajwa kuwa moja ya branda kubwa duniani za mavazi View attachment 843758View attachment 843759View attachment 843760

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja Mzee M,engi afariki waanze kugombania mali na wakina Abdiel na Regina
 
Mtu anatembea begani kaning'iniza Million sitini, ama hakika vibaka hawataisha duniani
Kibaka hawezi kuiba huo mkoba, maana yeyote atakayeununua atakamatwa tu. Hiyo ni kuwa na gari la kipekee hakuna mtu akayeliiba wala vifaa vyake.
 
Kibaka hawezi kuiba huo mkoba, maana yeyote atakayeununua atakamatwa tu. Hiyo ni kuwa na gari la kipekee hakuna mtu akayeliiba wala vifaa vyake.
Yanaibiwa magari ya Ikulu sembuse kamkoba, hujaijua nguvu ya vibaka ndugu.
 
Yanaibiwa magari ya Ikulu sembuse kamkoba, hujaijua nguvu ya vibaka ndugu.
Elewa kwanza nilichomaanisha, magari ya Ikulu yanafanana na magari mengine yaliypo nchini, kiasi kwamba hata akiiba kifaa kitakiuzwa kwa wenye magari kama haya sasa kama una model ya gari ambayo nchini haipo, ukitaka spare ni lazima uagize Japan, Kibaka akiiba spare au gari zima atamuuzia nani ? Kumbuka magari yakiiibiwa hubalishwa rangi na kuendelea kutembea, unaweza kukutana nalo usilifahamu, lakini kama hakuna gari lingine la aina hiyo nchini kwenu au ni machache sana, litafichwa wapi ? Hata huo mkoba ni vivyo hivyo, maana ni wa pekee, mkeo akiununua atadakwa tu.
 
Let say aliyeuiba ni mtoto wa mjini akafanya mpango ukapelekwa bondeni kwa madiba, unadhani hiyo hofu yako itaendelea kuwepo?
 
Let say aliyeuiba ni mtoto wa mjini akafanya mpango ukapelekwa bondeni kwa madiba, unadhani hiyo hofu yako itaendelea kuwepo?
Ataupisha wapi, ni imani yangu kuwa mwenye nao atakuwa ametoa taarifa kwa Mamlaka husika.
 
Ataupisha wapi, ni imani yangu kuwa mwenye nao atakuwa ametoa taarifa kwa Mamlaka husika.
Nadhani wewe ni mgeni wa hii dunia, umeshuka hapa kama sio Jana basi leo asubuhi, karibu sana kwenye hii dunia ya Mzungu. .. Hapa kila kitu kinawezekana kaka sijui huko utokako hali Ikoje. ... wanapotea twiga sembuse kamkoba! Haahaahaaahaaaa!
 
Mtu anatembea begani kaning'iniza Million sitini, ama hakika vibaka hawataisha duniani

Hao vibaka anakutana nao wapi..?, mke wa billionea akautane na kibaka wa manzese uzuri wapi na wapi
 
Aliyek
Hao vibaka anakutana nao wapi..?, mke wa billionea akautane na kibaka wa manzese uzuri wapi na wapi
Aliyekuambia vibaka wanapatikana Manzese uzuri tu amekupeleka chaka. .... vibaka wapo mpaka Ikulu, huamini achaaa
 
usiishi kwa kukariri iweje yeye apate hizo pesa wewe ukose tafuta zako ili uwe unasaidia watu tu mtu atafute hela yake kwa jasho aache kujiachia kisa uvivu wawatu wengine,
Sawa pesa ipo lakin. Kwann utumie hera ambayo hata kuna. Watu tutakufa bila kuishika toka utoto kwa kununua mkoba tu huko si kukufuru!!?? Kwann asingenunua milion 1 ingine akapeleka misaada hosptalin au shulen au akawapa wasio na uwezo jmn tukimbuke kila tulifanyalo tutalitolea maelezo siku ya mwisho mbele za Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wewe ni mgeni wa hii dunia, umeshuka hapa kama sio Jana basi leo asubuhi, karibu sana kwenye hii dunia ya Mzungu. .. Hapa kila kitu kinawezekana kaka sijui huko utokako hali Ikoje. ... wanapotea twiga sembuse kamkoba! Haahaahaaahaaaa!
Wewe ndo Mgeni kabisaaaaaaa. Sijui umetolea sayari ya Mars. Kwa akili yako ndogo, K-lyn anakutana na Vibaka wapi. Halafu ni Kibaka gani mwenye uwezo wa kusafirsha mkoba kwenda kuuza kwa Hayati Madiba.
 
mimi nilivyo mshamba hata ukinipa siutaki jaman
nitakuwa natembea kwa wasiwasi
 
Aje nao Kilimanjaro tuukwapue kama magari ya wakuu. Yaani mtu apite na mkoba wa mil60 wakati ni mtaji wa maduka 6 kabisa tena kila duka watanzania 2 watapata ajira yaani jumla 12.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo Mgeni kabisaaaaaaa. Sijui umetolea sayari ya Mars. Kwa akili yako ndogo, K-lyn anakutana na Vibaka wapi. Halafu ni Kibaka gani mwenye uwezo wa kusafirsha mkoba kwenda kuuza kwa Hayati Madiba.
kwanza swali tu? ni kibaka gani anayejua thamani halisi ya huo mkoba 😂😂😂😂😂 maana nina uhakika watu wengi humuona nao huo mkoba na hawajui thamani yake ...thanks kwa ile blog ya fashion iliyokuja kutufumbua macho 😂😂😂
 
Back
Top Bottom