KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kwa iyo kwa wiki anautumia mara ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baiskel kubwa ...muulize kalamu za kuandikia alishapeleka kwa wanafunzi ?Naamini una uwezo wa kununua baiskeli. Je ushawah kununua hta baiskel upeleke kijijin kwenu kisaidia watembea kwa mguu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na fake ipo eBay tena hivyohivyo kwa laki2.5 tuHamna kitu!
Uwongo wake tu!
Mduka wake wa furniture imemshinda!
Hamna kitu kwa huyo mama walahi!
That’s all!
Wanavaa zile zinazoziba kwenye mlango tu zinashikiliwa na kamba ya kiatu
Wee jamaa ni jinias [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasio na wezo kila siku mnao mtawasaidia.Angechukua laki tano tu akampa mmasai amtengenezee mkoba kwa ngozi ya mbuzi, pesa inayobaki angefanyia mambo ya msingi au kuwasaidia wasio na uwezo kama hana kazi nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo maisha yake binafsi hayahusiani na hilo suala serikali wajibu wake nin kwaniAngenunua hata kitanda kimoja kwenye zahanati ya kijijini kwao angekuwa ameisaidia jamii..
nimekosa cha ku replyAnaliwa sana tiGo, muacheni anufaike na jasho la kiuno chake
Jiulize na wewe umeifanyia nini nchi yako kabla ya kuuliza serikali imeifanyia nini nchi yako......hayo maisha yake binafsi hayahusiani na hilo suala serikali wajibu wake nin kwani
kwa iyo we ulitakaje? kuna ulazima kwani? mi siwez kuifanyia chochote bongo....ni maaamuzi yangu si lazmaJiulize na wewe umeifanyia nini nchi yako kabla ya kuuliza serikali imeifanyia nini nchi yako......
Kupitia kauli yako najidhihirishia kuwa wewe si mzalendo kama yule mwenzako.....anyway..endelea kula bangekwa iyo we ulitakaje? kuna ulazima kwani? mi siwez kuifanyia chochote bongo....ni maaamuzi yangu si lazma
Pesa yake masimango kibao,hangaika na yako badala ya kuhangaika na mikoba ya wake za watu,mume wake hajalalamika wewe ni nani hadi kutuletea udaku hukuYani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana
Sasa kuna mkoba wa kike unaitwa birkin ambao unatengenezwa na kampuni ya hermes ya nchini ufaransa ambao unatajwa kuwa ni miongoni ya mikoba ya kike yenye gharama zaidi duniani
Mkoba huo sasa unamilikiwa na mjasiriamali na mfanyabiashara Jacqueline N Mengi na kwa mujibu wa mtandao wa eboy mikoba hiyo bei ni dola$ 26500 ambayo ni sawa na tsh milion 68
Sifa kubwa ya mikoba hiyo ni kwamba inatengenezwa kwa ngozi ya mamba na ina ubora usio na mashaka na pia hata ukubwa wa brand ya hermes ambayo inatajwa kuwa moja ya branda kubwa duniani za mavazi View attachment 843758View attachment 843759View attachment 843760
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani uzalendo ni nini? we unavyoona ukiweza kujenga zahanati ndo mzalendo unaweza kujenga na usiwe mzalendoKupitia kauli yako najidhihirishia kuwa wewe si mzalendo kama yule mwenzako.....anyway..endelea kula bange