Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Hamna kitu!
Uwongo wake tu!
Mduka wake wa furniture imemshinda!
Hamna kitu kwa huyo mama walahi!
That’s all!
Na fake ipo eBay tena hivyohivyo kwa laki2.5 tu
Who knows kama ni fake hahaha

Sent from my SM using Tapatalk
 
Kuna kitu najifunza kuhusu huyu dada, dada zetu pia mjifunze. Ndoa ni kitu cha thamani sana kwa mwanamke, huyo Jacqueline ameweka kando ulimbwende wa ki-super star ili aolewe, ndoa ni heshima, ndoa ina thamani kuliko umaarufu uwao wote.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatisha hii. Yaani kiinua mgongo cha mtu mtu ananunua pochi. Tupambane na hali zetu jamani
 
Watu kama hao wanatembea sehemu tofauti na kwa nafasi walizonazo wanakutana na wat tofaut sasa haina haja ya kustaajabu pengine hata alipewa zawadi mbona ni kawaida,,mm nina kitu cha thanan namiliki watu huwa wananishangaa kuniona nacho,,ila nilipewa zawadi na ndugu yangu wa ughaibun,,,hata idris sultan alipewa saa ya milion 500 na alisema yy mwenyew hawez kutoa hiyo hela kununua saa tu,,kwahiyo mm huwa sishangai kuona mtu anamiliki kitu cha thaman
 
kwa iyo we ulitakaje? kuna ulazima kwani? mi siwez kuifanyia chochote bongo....ni maaamuzi yangu si lazma
Kupitia kauli yako najidhihirishia kuwa wewe si mzalendo kama yule mwenzako.....anyway..endelea kula bange
 
Pesa yake masimango kibao,hangaika na yako badala ya kuhangaika na mikoba ya wake za watu,mume wake hajalalamika wewe ni nani hadi kutuletea udaku huku
 
Kupitia kauli yako najidhihirishia kuwa wewe si mzalendo kama yule mwenzako.....anyway..endelea kula bange
kwani uzalendo ni nini? we unavyoona ukiweza kujenga zahanati ndo mzalendo unaweza kujenga na usiwe mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…