Au wangojwa wewe ushawasaidia kwa lipi.Ndo maana kuna ambulance....tumia akili mkuu..
Shughulisha ubongo, hivi hakuna vijana waliopenda kumuoa!Kuna kitu najifunza kuhusu huyu dada, dada zetu pia mjifunze. Ndoa ni kitu cha thamani sana kwa mwanamke, huyo Jacqueline ameweka kando ulimbwende wa ki-super star ili aolewe, ndoa ni heshima, ndoa ina thamani kuliko umaarufu uwao wote.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona zipo tayari, Wachina sio watu kujiuliza mara mbiliWabongo watafyatua mafeki kama zile GUCCI za pale kariakoo mpk mtashangaa
Naaam hao ndio wabongo.Mbona zipo tayari
yap, huyu, faraja nyalandu,miriam odembawana group lao..mamis....
waume zao pesa ndipo ilipolala!
Ila wema sepenga hanusi hapo.... .... anavurugwa kitaa tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini watanzania tu wavivu halafu ombaomba wakubwa? Mtu aache kuishi maisha yake anayotaka, aishi kifukara fukara kisa anakusanya fedha za kuwapa watu wavivu ambao hawataki kufanya kazi? Mengi ni mtu anayesaidia sana wasio na uwezo na hawezi kusaidia Tanzania nzima. Watu wanatafuta fedha ili waishi maisha wanayotaka na siyo eti wasaidie watu wavivu wanaokaa bial kazi wakisubiri msaada! Mawazo ya kifukara bwana!Angechukua laki tano tu akampa mmasai amtengenezee mkoba kwa ngozi ya mbuzi, pesa inayobaki angefanyia mambo ya msingi au kuwasaidia wasio na uwezo kama hana kazi nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote wavivu ,kuna vilema,kuna vikongwe,wagonjwa na watu mbali mbali wanaohitaji msaadaHivi kwanini watanzania tu wavivu halafu ombaomba wakubwa? Mtu aache kuishi maisha yake anayotaka, aishi kifukara fukara kisa anakusanya fedha za kuwapa watu wavivu ambao hawataki kufanya kazi? Mengi ni mtu anayesaidia sana wasio na uwezo na hawezi kusaidia Tanzania nzima. Watu wanatafuta fedha ili waishi maisha wanayotaka na siyo eti wasaidie watu wavivu wanaokaa bial kazi wakisubiri msaada! Mawazo ya kifukara bwana!
Halafu wanasema awasaidie mafukara utakuta hawajawahi kumsaidia mtu hata siku moja. Hawajui hata hawa omba omba tunaowaona kwenye mataa nao huwa wakiona mtu mwenye pikipiki wanatamani angenunua baiskeli na fedha inayobaki awagawiye.Hiyo ya karume ya plastic man. Hii kitu ni Og.. sema vile mtoto mkare kama huyu anapenda vitu vya juu halaf na vile mbesa ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wapo wengi kweli kweli! Ndiyo maana ni impossible kuwasaidia wote. Anajaribu kufanya kile kilicho juu ya uwezo wake. By the mtu kama wewe hata kama unamiliki vitz unaweza kuiuza na kununua pikipiki na fedha inayobaki ukiwagawia! Au!Sio wote wavivu ,kuna vilema,kuna vikongwe,wagonjwa na watu mbali mbali wanaohitaji msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao vikongwe ,wagonjwa hawana ndugu?Sio wote wavivu ,kuna vilema,kuna vikongwe,wagonjwa na watu mbali mbali wanaohitaji msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa napenda kutumia vitu vyenye minimum cost. Mfano tecno N2 na Samsung note 4 zote ni sim na zinperform basic operations but bei zinatofautiana,in this case nachagua tecno N2 pesa inayobak naangalia ishu zingine za kufanyaNa wapo wengi kweli kweli! Ndiyo maana ni impossible kuwasaidia wote. Anajaribu kufanya kile kilicho juu ya uwezo wake. By the mtu kama wewe hata kama unamiliki vitz unaweza kuiuza na kununua pikipiki na fedha inayobaki ukiwagawia! Au!
ishu sio ndugu. Unaweza ukawa nao 100, wakukusaidia wakajitokeza wawili. Saiv ndugu sio wakuwategemea, wakuwategemea sana sana ni wazazi na watoto wako tu (hao ndio damu yako japo na wao wanaweza wakakitelekeza vile vile)Hao vikongwe ,wagonjwa hawana ndugu?
Wote hao tunawaona mitaani na ndugu wanao, kila mmoja saiv anapambana na nafsi yake . wachache sana ndo wamebakiwa na haya mambo ya undugu na kusaidianaHao vikongwe ,wagonjwa hawana ndugu?
And what is minimum cost? Minimum cost is a relative term dear! Wewe hiyo techno N2 unasema ni minimum wakati kuna mtu hajala! Unaonaje ukatumia tochi ya mchina halafu ukampa hizo zilizobaki?Huwa napenda kutumia vitu vyenye minimum cost. Mfano tecno N2 na Samsung note 4 zote ni sim na zinperform basic operations but bei zinatofautiana,in this case nachagua tecno N2 pesa inayobak naangalia ishu zingine za kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji smartphone kwa sababu mbali mbali, simu yoyote yenye basic operation za smartphone natumia bila shida yoyoteAnd what is minimum cost? Minimum cost is a relative term dear! Wewe hiyo techno N2 unasema ni minimum wakati kuna mtu hajala! Unaonaje ukatumia tochi ya mchina halafu ukampa hizo zilizobaki?