Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Sijasema tecno N2 ni min, nmetolea mfano zikiwekwa hizo sim mbili basi tecno ni min but tukiweka hyo hyo tecno N2 na Vodafone ,Vodafone itakuwa min na tecno itakuwa maxAnd what is minimum cost? Minimum cost is a relative term dear! Wewe hiyo techno N2 unasema ni minimum wakati kuna mtu hajala! Unaonaje ukatumia tochi ya mchina halafu ukampa hizo zilizobaki?
Sent using Jamii Forums mobile app