Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Ndio maana waswahili wanasema alihusika kuandika ule wosia maana alitaka wakubwa wasipate sababu tayari walishapata kwa Mama hivyo 50 iliyobaki ni yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuna mahali anasema hajawahi kuongelea hayo masuala na mume wake,kuna mahali tena anasema mume wake alisema ana watt4 ,lkn share yake ni ya watt wadogo tu!
Fala kweli huyu,anafikiri hao wakina Regina na baba yao mdogo wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbeee! [emoji848]safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari ile ilikuwa kwa ajili ya watoto. Reginald aliwapenda sana watoto. Alitaka kila wakiwa likizo tusafiri. Tulienda Zanzibar ila akahisi hawakuenjoy vilivyo kwani tulikuwa sehemu ya kimya sana. Akasema twende Dubai ili waenjoy zaidi. It was his idea.
Zurie,

Jr[emoji769]
 
Wanaopinga wosia wakishinda maana yake hakuna kitakacho tekelezwa katika huo wosia ikiwa ni pamoja na hayo maelezo uliyoyasikia.


Hapo kwenye kuupinga wosia ndio kesi ilipo. Hasa ikiwa kuna kila ushahidi kwamba uliandikwa na marehem enzi za uhai wake.
 
Hivi vianamke wakati mwingine ni vya kuogopa(kwa baadhi yao lakini)pia na ndugu wengine ni wa kuogopa(kwa baadhi yao pia)wengi wao huangalia Mali tu!vituko havihishi ,namtafuta Mali na mke wangu anaenifariji ni mke wangu.

Na inaweza kukuta hata hao ndugu wanatengeneza matatizo ili uumie tu lakini anaenifariji ni mke wangu ndio maana nimeishi nae,Kama mmebarikiwa watoto nao ni faraja yangu ndani ya moyo wangu na nyumba yangu so Mali itabaki kuwa ya mke wangu na watoto wangu.

Ndugu watafute zao na familia zao, kama wazazi wako hai nao wapewe kwa kiasi,lakini Mali ni ya mke na watoto mke awe Nini au shetani Mali itabaki yake au yangu Kama wife atatangulia mbele za haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh,kwenye interview kasema anapokutana nae walikuwa divorced 10 yes,sio 20 yrs!
Halafu muda huo wote sio kuwa Mengi hajawahi kuoa,aliwahi kuoa kabla ya klyn wakaachana na yule Dada ndo akafuata klyn!
Upendo wa baba kwa watt uko palepale haijalishi una miaka mingapi!
Wana wengi wa kambo ndo huwa wanaondoaga huo upendo huu ndo ukweli! Japo sio wote Zanzibar-ASP,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao watoto wakubwa wameshapewa chao 50%, kutoka kwa mama yao, hiyo 50% nyingine ya mengi ni ya watoto wa jack, hao watoto wakubwa waache roho mbaya kutaka kudhulumu mali za wadogo zao mapacha.
 
[emoji16][emoji16]nalo neno
9 yes,unakuja kugombana na watt!
Mwingine angeshajijenga!
Mfano,Madame Ritha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani kwenye wosia Mengi hajawagawaia ndugu zake Mali? Haya maneno umeyatoa wapi?

Narudia tena uhitaji kuwa mwanasheria kujua kuwa hii case na hoja za familia zitatupiliwa mbali!
 

Kwani kwenye hiyo statemant kuna shida gani?
 
Nilichogundua Mtoto wa Kiume Nirahisi kumzoea Mama wa Kambo kuliko Mtoto wa Kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…