Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Yaani Jack ana strategic plan kuhusu biashara? Unaota mkuu.Jack hatawesa kuwa bilionea..kwasabbu deep inside anajua sio mkweli..hkunaga..hela inataka usafi wa rohomkuu...huyo ataishia level hizo hizo...kwa ubilionea nakataa! Hana akili hizo..umekaa na mume 9yrs unakuja kufanya biashara za furniture?? Khaa
Dear..Mimi mwenyewe nimesoma nikaona nikae kimya tu.
Alishindwa kutumia hela ya Mzee kuwa Bilionea wakati akiwa hai hiyo sasa hivi anaanzia wapi?
Halafu huyo Demu hana kismart cha utafutaji..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear..Mimi mwenyewe nimesoma nikaona nikae kimya tu.
Alishindwa kutumia hela ya Mzee kuwa Bilionea wakati akiwa hai hiyo sasa hivi anaanzia wapi?
Halafu huyo Demu hana kismart cha utafutaji..


Sent using Jamii Forums mobile app


Jack ni nyonde nyonde mno..hana uthubutu huo .alishachelewa zamanii...faraja na jack ..faraja nismart .
 
Kwani mke wa kwanza wa marehemu by the time ana umri wa k-lyin aliazisha biashara gani ya kwake binafsi yeye kama mke? We huoni fenicha nzuri zile? Na hao watoto wa mwanzo wamewahi kuanzisha biashara gani binafsi tuone ubunifu wao? Kwa hiyo hata kama hiyo ya fenicha haijasimana ni sehemu ya biashara, si lazima unapoanzisha isimame ila mtu uoneshe ubunifu!!! Mengi mwenyewe alipitia kuanzisha na kufunga biashara tofauti tofauti!!!
Mkuu ujue unaandika vitu havina mantiki.
Ushawahi kuona familia za mabilionea? Wakina Mo? Dangote? Huwa biashara tunaziendeleza kizazi na kizazi.
Ndicho walichofanya wakina Regina na Marehemu Mutie.

Hiyo ni biashara ya familia.

Hata mimi nina kampuni nategemea mwanangu akimaliza kusoma aje aende she kampuni na wajukuu humo humo.

Na ndo wahindi wanatuacha mbali sana sababu sisi waswahili tuna mentality mbovu mtoto aajiriwe au aanzishe cha kwake na si kuendeleza.

Turudi kwa Jack kwa akili ya kawaida huwezi kuingia familia umekuta mali na watoto wakubwa wamepambana na mama yao na baba yao na wewe utegemee hapo.
Alitakiwa amuambie mzee amuandalie za kwake na wanae.

Alitakiwa aanzishe chao na si kudai jasho au kung'ang'ania jasho la Mama Mercy, Mutie, Regina na Rod.
Yaani Jack alifeli Big time na huwezi mlinganisha Jack na Mama Mercy hata kidogo yule mama alianza na mumewe zero kabisaaaaa mpaka alipofika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwan we bado ujaolewa ufanye makubwa kuliko jack

地那天刚才妇产科☆
Bado nazisaka zangu binafsi, ili baadae nicipate shida na ndugu wa huyo partner, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka tyuuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bambushka, Sasa mtu hajawahi kuendesha maisha yake akajitegemea walau kwa asilimia 30 bila kutegemea madanga unafikiri anaweza kushindana na mkurugenzi tena muanzilishi wa EATV, EA RADIO? Watu wapo kwenye board of directors ya kampuni kubwa?

Hii vita Jack ameshindwa keshaanza kutapatapa. Point ya kusema wamechukua ya mama tayari ya baba wachukue watoto wake na anairudia zaidi ya mara moja nimeona huyu ni shida sana aiseee.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mtu ukifa unakufa na mengi. Laiti tungalikuwa tunajua Mali tunazozitafuta kwa jasho hivi pindi tuondokapo huwa zinaleta migogoro hivi, hakika tusingejichosha kuangaika hivi usiku na mchana.
 
Umesikiliza vizuri mahojiano na Ayo? Km bado,sikiliza!
Case hii k lyn ana nafasi kubwa sana ya kushinda.. ndio maana anakomaa iamuliwe na mahakama sio na vikao vya ndugu nje ya mahakama..

Hoja za mzee Mengi alichanganyikiwa.. itahitaji ripoti ya hospitali. Hapo ndipo patamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cresida,
Unasema sina mantiki wakati umejibu bila kusoma vizuri nilichoandika. Hapo kuna mambo mawili, la urithi na uwezo wa kibiashara. La urithi wa jackie silizungumzii na wala siwezi kusema nina muunga mkono. Ila watoto wake wana haki almost automatic kurithi mabilioni no matter what!

Sasa as long as jackie na watoto ni ma bilionea, argument iliyofuata ni matumizi ya hizo hela. Kwa hili si kweli kwamba ukiwa kwenye familia ndio basi unachumia familia tu huwezi kuonesha ubunifu wako utakaokutambulisha ndani ya empire ya familia.

Ndio maana kuna huo mfano wa Rodney kutuonesha ubunifu kwenye media. Hao wengine kama nao ni wabunifu sawa ila hatujaona kitu chao bunafsi kilichowapa sifa kama marehemu mdogo wao!!!
 
Mengi alikuwa na uwezo wa kumuweka huyu demu kimada wa pembeni na akampa kila kitu. Pasipo kuingilia mali zake ni vile tu kutokujua ya mbeleni.
 
Back
Top Bottom