Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Sasa uxhaona me nalilia fwedha? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wee vepeeeeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau hapo uliposema "ingekuwa wewe ni jack ungekuwa na mabilioni"[emoji23][emoji23]

Ni vile tu chance haijatokea na hadhi yako wewe ni sisi maskini ambao huwezi kutonyonya chochote zaidi ya mapu****mbu
 
Ushahidi unaweza kuonesha kweli uliandikwa na marehemu enzi ya uhai wake lakini ikabainika kwamba haujakidhi vigezo na taratibu za kuandika wosia hivyo ukawa batili na ikitokea hivyo maana yake unafutiliwa mbali na hakutakuwa hata na kipengele kimoja kitakachotekelezwa

Shukrani sana kwa Elimu. Zamani nilijua alimradi mhusika kaandika wosia na ikathibitika ni yeye, haitenguliwi.
 
Kwani mke wa kwanza wa marehemu by the time ana umri wa k-lyin aliazisha biashara gani ya kwake binafsi yeye kama mke? We huoni fenicha nzuri zile? Na hao watoto wa mwanzo wamewahi kuanzisha biashara gani binafsi tuone ubunifu wao? Kwa hiyo hata kama hiyo ya fenicha haijasimana ni sehemu ya biashara, si lazima unapoanzisha isimame ila mtu uoneshe ubunifu!!! Mengi mwenyewe alipitia kuanzisha na kufunga biashara tofauti tofauti!!!


Infocom Technologies ni Biashara binafsi ya Abdiel na EATV ni kampuni binafsi ya Rodney Mutie
 
Yaani ktk interview nilimshangaa na kuhisi kimeo pale aliposema kua walikua wakifika machame wanafikia nyumba ya familia baadae mme wake akaone ajenge awe na mji wake awe huru yaani nkajua tayari jini hiloo 'makata wa makatani kashaingia hakuna amani tena'vululuvululuu kaingia kavunja kila kitu alichokuta yaani ni mbinafsi haswaa. Makiseo,

Sent using Jamii Forums mobile app

Mume akiwa tajiri ndugu lazima wasikupende tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Dada angenyamaza Tu Kimya.. Asubiri Mahakama itaamua nini..
Hawezi kuniaminisha ana Upendo kwa Mengi kuliko Ndugu zake
Anazidi kujichanganya na kutaka Huruma ya Jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada kama anaonewa atulie kwani ataipata haki yake. Ila kama kuna mabaya aliyoyafanya hatakuwa na amani maisha yote. Dhuluma haijawahi kumuacha mtu salama,na mbaya inakula hadi vizazi vinavyofuata.
 
Hili tatizo kubwa sana kwetu weusi

Juzi kati nilikuwa naongea na Wana Fulani nikawaambia tabia ya wazazi kusomesha watoto shule za Bei ghali Kisha wakimaliza wanawaacha wakatafute kazi za kuajiriwa waanze manyanyaso sio fair .


Kwanini wasiwaingize watoto kwenye uchumi wa familia wafanya manuever ili kupiga hatua zaidi kizazi Hadi kizazi

Ndio maana familia nyingi zinaishi kuwa masikini au kipato Cha kawaida kwa Mambo Kama haya

Angalia wazungu(mf Trump family) na wahindi wengi unasomeshwa shule nzuri ukimaliza unakuja ku add something kwenye family business

Waafrika tubadilike. vexozanzhu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachojua mm.. ndoa ya kikristo.. baada ya kifu cha mzazi mmoja... ndio basi.. aliyebaki anauhuru wa kuoa au kuolewa....
 
Back
Top Bottom