Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Sasa uxhaona me nalilia fwedha? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wee vepeeeeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau hapo uliposema "ingekuwa wewe ni jack ungekuwa na mabilioni"[emoji23][emoji23]

Ni vile tu chance haijatokea na hadhi yako wewe ni sisi maskini ambao huwezi kutonyonya chochote zaidi ya mapu****mbu
 

Shukrani sana kwa Elimu. Zamani nilijua alimradi mhusika kaandika wosia na ikathibitika ni yeye, haitenguliwi.
 


Infocom Technologies ni Biashara binafsi ya Abdiel na EATV ni kampuni binafsi ya Rodney Mutie
 

Mume akiwa tajiri ndugu lazima wasikupende tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Dada angenyamaza Tu Kimya.. Asubiri Mahakama itaamua nini..
Hawezi kuniaminisha ana Upendo kwa Mengi kuliko Ndugu zake
Anazidi kujichanganya na kutaka Huruma ya Jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada kama anaonewa atulie kwani ataipata haki yake. Ila kama kuna mabaya aliyoyafanya hatakuwa na amani maisha yote. Dhuluma haijawahi kumuacha mtu salama,na mbaya inakula hadi vizazi vinavyofuata.
 
Hili tatizo kubwa sana kwetu weusi

Juzi kati nilikuwa naongea na Wana Fulani nikawaambia tabia ya wazazi kusomesha watoto shule za Bei ghali Kisha wakimaliza wanawaacha wakatafute kazi za kuajiriwa waanze manyanyaso sio fair .


Kwanini wasiwaingize watoto kwenye uchumi wa familia wafanya manuever ili kupiga hatua zaidi kizazi Hadi kizazi

Ndio maana familia nyingi zinaishi kuwa masikini au kipato Cha kawaida kwa Mambo Kama haya

Angalia wazungu(mf Trump family) na wahindi wengi unasomeshwa shule nzuri ukimaliza unakuja ku add something kwenye family business

Waafrika tubadilike. vexozanzhu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachojua mm.. ndoa ya kikristo.. baada ya kifu cha mzazi mmoja... ndio basi.. aliyebaki anauhuru wa kuoa au kuolewa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…