Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

At
Court battle! That will lead her victory
Wala Ndugu hawana cha kupoteza tena. Waje mitandaoni kutafuta nini, wewe umekuja unainterst zako hapa social network, wao they got nothing here.

Zari atakuja kuona watoto ni mzigo awaachie aende zake akaliwe yaishe, unacheza na wanawake wewe
 
Wanawake wakichaga mnajifanyaga wababe kwa wanaume wa makabila mengine waliowaoa kwa kuwaua wakiwa na mali mnajiita mapalestina. Kibao kimewageukia sasa tena kwa Tajiri yenu mkubwa chezea karma acheni mnyooshwe mmedhulumu sana waume wa makabila mengine na wengi wanawake mnaolialia humu jamvini ni wachaga acha Jaq awaanyooshe
 
Mrangi anajua mpaka kitanda anacholalia naniliu wallah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake bhn tunayaona mabaya ya mwenzetu huku yakwetu hatuyaoni. Wengi wenu mna mabwana wawili watatu hamjioni,wanadanga kwa wanaume zao hawajioni.Tofauti yenu na Jack ni kuwa yeye kadanga kwa tajiri nyie mnadanga kwa masikini. Yeye matendo yake yanamulikwa yakwenu hayamulikwi!

Tofauti na hapo wanawake ni wale wale!.Mnamsema Jacky yeye huyo Mengi kapita na wanawake wangapi mpk kufika kwake.Unahisi mzee Mengi alikuwa hana mafaili ya Jacky?

Cha msingi dada wa watu bahati ilimuangukia yeye kupendwa na mzee period.Na alijitahidi atleast kutuliza mihemko maana of course Mengi umri ulikuwa umeenda. Hata nyie mngepewa mdate na huyo mzee msingeweza kumaintain image kama alivyojitahidi yeye.I wish kesi iende fresh haki ipatikane over......
I have generalized don't take it personal
 

Kwa nilivyoelewa Jacq hajataka kuongeza au kupunguza mgawanyiko wa mali anataka kila kitu kibaki kama Mengi alivyotaka.

Jacq kasema mirathi wameandikiwa watoto ambao wapo under 18 yeye ni msimamizi tu, hilo mosi.

Pili, kwanini kesi afungue kaka wa marehemu badala ya watoto wake wakubwa wenyewe?

Ndo maana nasema hii kesi atashinda sababu mke na watoto under age ndo immediate relatives kwa mujibu wa sheria na kama Mengi aliandika mirathi na mgawanyiko wa shares zake haiwezekani kaka yake aje kubatilisha.

Mambo ya Jacq alikuwa na Mengi kimaslahi au Mengi hakuwa timamu wakati anaandika can't hold water in the courtroom.
 
sirikirusi,

Watoto wake ( kylin )wanasoma International school of Tanganyika ( IST) kuja kuishi na uleginald ni lazima itakua hivyo hawajui Shida na mama Yao ndio huyo hamna kitu kichwani

Kaka na dada yao walisoma Muhimbili Primary School shule za kawaida walitengeneza sana Pen nyumbani za kuuza na wazazi wao ndio maana hawana uleginald ni wa kawaida sana ukiwaona hauwezi jua kama ni matajiri , sema ni vichwa wana akili kweli kweli REGINA MENGI ana CPA
 
Kuna ukweli Hapo Rita alilamba chake akasepa
 
Bufa,
Nijuavyo Mimi na kwa kesi nilizoshuhudia Wosia ukitenguliwa,haijalishi umri wa Watoto,wote wana haki ya kupata urithi kutoka kwa Baba yao! Nimeshuhudia kesi tatu na zote wosia ulitenguliwa! Hapo pa Benjamini kufungua kesi haijalishi,msingi wa kesi ni urithi kwa Watoto wote!
 

Sasa kazi ya mirathi ni nini na kwa nini watu wanashauriwa kuandika mirathi mapema.

Kama mali lazima zigawashwe kwa watoto wote evenly kwanini ndugu huwa wanagombania kama that's a known fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…