Sasa kazi ya mirathi ni nini na kwa nini watu wanashauriwa kuandika mirathi mapema.
Kama mali lazima zigawashwe kwa watoto wote evenly kwanini ndugu huwa wanagombania kama that's a known fact.
Exactly...kweli kungekuwa hakuna kipengele cha kupinga wosia...kama kusingekuwa na taratibu zinazopaswa kuzingatiwa katika kuandika wosia...Pengine na mimi nanze kwa kukuuliza swali,Ni kwanini kuna ruhusa ya kupinga Wosia kisheria Mahakamani?
Pana vigezo vinavyopaswa kufuatwa unapoandika Wosia/Mirathi! Sio swala tu la kuandika! Hapa kinachoangaliwa ni kama vigezo vyote vilifuatwa ktk kuandaa huo Wosia! Ndio maana tunaandaa Wosia chini ya ushauri wa Wanasheria ili kukidhi hivyo vigezo! Hawa Wanasheria walioandaa huo Wosia walifanya mambo kihuni na am sure they knew it was a matter of time but hawakujali kwakuwa tu wao walilipwa!
Aiseee kwani mkuu we kabilla gani?[emoji23][emoji23]Wanawake wakichaga mnajifanyaga wababe kwa wanaume wa makabila mengine waliowaoa kwa kuwaua wakiwa na mali mnajiita mapalestina. Kibao kimewageukia sasa tena kwa Tajiri yenu mkubwa chezea karma acheni mnyooshwe mmedhulumu sana waume wa makabila mengine na wengi wanawake mnaolialia humu jamvini ni wachaga acha Jaq awaanyooshe
Kama ni strategist mbona hakua tajiri kabla hajaolewaHata Mahakama ikigawa mali upya huyu jackie na wanawe wanaishia kuwa ma bilionea. Na believe it or not palipo uhai, by the time mapacha wake wanafika umri sawa na watoto wakubwa wa mengi huyu jackie atakuwa amejenga business empire kubwa kuliko mali yote aliyoiacha mengi!!!
Huyu dem ni strategist na ana akili ya biashara kuliko wale watoto wakubwa wa mengi. Kwa kifupi zikiibuka business empire mbili tofauti, ya huyu itakuwa zaidi kuliko ya familia ya mke wa kwanza!!!
No amechoose her battles very wisely!Na hapo ndio anafail vibaya sana! Kukosa Elimu napo ni kazi sana! Huku mitandaoni anataka kumbebesha lawama Shemeji yake wakati uhalisia anaujua fika kuwa anapambana na Regina na Abdiel! Hathubutu kuwagusa hao maana anajua moto wake! Btw si alitoa tangazo watu wasiguse mali za Mengi,mbona leo anakiri tena kuwa Regina ndio anacontrol kila kitu kilichoachwa! Wazazi tusomeshe watoto wetu hasa wa Kike! Shida ya kukosa Elimu hapa inaonekana!
Haaahhhaah daaa huyu dada hii ramani kaichora vilivyo.No amechoose her battles very wisely!
akisema anapambana na shemeji, issue itakuwa ni NDUGU WA MUME WANAMPORA MALI MJANE!
akisema anapambana na kina Regina na Abdiel,issue itakuwa MAMA WA KAMBO ANAZUIA WATOTO WA MAREHEMU KURITHI MALI YA BABA YAO.
yuko na akili kidogo!
No amechoose her battles very wisely!
akisema anapambana na shemeji, issue itakuwa ni NDUGU WA MUME WANAMPORA MALI MJANE!
akisema anapambana na kina Regina na Abdiel,issue itakuwa MAMA WA KAMBO ANAZUIA WATOTO WA MAREHEMU KURITHI MALI YA BABA YAO.
yuko na akili kidogo!
hii mambo ya kama ....justice must be seen to be done...tusubiri mahakama iamue sababu huyo ndugu wa mengi hawezikurupuka kama chizi aweke pingamiz mahakaman bila kupata ushauri wa mawakili..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona wanataka wakayamalize? Si walifungua case wenyewe?
Narudia tena Kaka yake Mengi hatoweza shinda hii case labda wamtafute na wambembeleze Jack lakini kinyume na hapo waula wa chuya
Pengine na mimi nanze kwa kukuuliza swali,Ni kwanini kuna ruhusa ya kupinga Wosia kisheria Mahakamani?
Pana vigezo vinavyopaswa kufuatwa unapoandika Wosia/Mirathi! Sio swala tu la kuandika! Hapa kinachoangaliwa ni kama vigezo vyote vilifuatwa ktk kuandaa huo Wosia! Ndio maana tunaandaa Wosia chini ya ushauri wa Wanasheria ili kukidhi hivyo vigezo! Hawa Wanasheria walioandaa huo Wosia walifanya mambo kihuni na am sure they knew it was a matter of time but hawakujali kwakuwa tu wao walilipwa!
Pengine na mimi nanze kwa kukuuliza swali,Ni kwanini kuna ruhusa ya kupinga Wosia kisheria Mahakamani?
Pana vigezo vinavyopaswa kufuatwa unapoandika Wosia/Mirathi! Sio swala tu la kuandika! Hapa kinachoangaliwa ni kama vigezo vyote vilifuatwa ktk kuandaa huo Wosia! Ndio maana tunaandaa Wosia chini ya ushauri wa Wanasheria ili kukidhi hivyo vigezo!
Hawa Wanasheria walioandaa huo Wosia walifanya mambo kihuni na am sure they knew it was a matter of time but hawakujali kwakuwa tu wao walilipwa!