Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Makiseo,
Yaani Regina Mengi mtu mwenye umri wa zaidi ya miaka 30 alikuwa analilia upendo wa kitoto kutoka kwa baba yake ili iweje? Hizo ni fix tupu.
Ukweli ni kwamba, watoto wa Mengi walikuwa upande wa mama yao na walikuwa kinyume na Mengi muda mwingi wa maisha yao.
Mengi alimuoa Jackline akiwa tayari ameachana na mke wake wa kwanza miaka 20 iliyopita. Hivyo Jackline alikuwa faraja ya Mengi katika kipindi ambacho Mengi alikuwa katika maisha Upweke na Msongo mkubwa.
Jambo moja kubwa ambalo watu wanasahau ni kuwa, Mengi kumuoa Jackline ilikuwa ni maisha yake binafsi na maamuzi yake binafsi, hatupaswi kuyaingilia wala kuyahoji sana. Kama Jackline alikuwa na kiburi au jeuri, basi vyote hivyo vilikuja kwa sababu alikuwa anapendwa na Mengi au Mengi alikuwa anavipenda.
Sasa inakuwaje watu tuumie kwa Jackline kuvuna mali za Mengi wakati mwenye mali mwenyewe akiwa hai alitamka na kuandika hivyo katika wosia wake?