Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi?Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi.Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao.Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
Yaaan na wewe mdada unaungana nao kweli!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millard: Wakati kesi ya mirathi inaendelea mahakamani, ni vitu gani unasimamia hivi sasa?

JNM: Hakuna hata kitu kimoja ninachosimamia. Vinasimamiwa na watoto wetu wakubwa.

Hivi Jack unawezaje kuwatoa hawa watoto kwenye mali waliochuma na baba yao tokea wadogo? Kumbe unajua wanasimamia hizo mali, sasa unataka kuwatoa kinguvu mahakamani?

Kama Mengi angekuwa hawataki hawa wakubwa angewazuia kusimamia tokea akiwa hai.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha kupenda ndugu hapa, mume akifa ndio ndugu mnaanza kujifanya mna uchungu sana
Hapo hadi sahivi imeshakula kwao, hadi wanaanza kuweweseka eti wanamuomba wayasuluhishe , hahaahaha...ndugu ni mapepo

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahahahha dada yako kaachwa uchi,kama hakufata maslahi hapo ya nini kudhalilishana kwenye social media?? si asepe tuu...??? kama anadai ana watoto kaachiwa mbona hataki kukubali the fact kwamba Mengi hakua na watoto wakwake peke yake?? kwamba Mengi alikua na watoto wengine besides wa kwake??
 
padlock,
UMEONGEA FACTS.

SISI WENGINE WACHA TUPIGE POROJO,INGEKUA HAI ENJOY ATTENTION ANAYOPATA ANGEJIFUNGIA..NAPO WAJA WANGESEMA YAO....

UMEONGEA UKWELI MIRATHI PAMOJA NA BITTER DIVORCE NI VITU VISIKIE TU KWA JIRANI...ILA KUTUMIA SOCIAL MEDIA..'KUJIBIANA' INA FUEL MAMBO...

ANYWAY IT LOOKS LIKE THEY ENJOY THE SHOW...WACHA TUENDELEE KUBWABWAJA...lol
 
Yani sisi wanaume bana. Mbabu yule kaenda kuoa kadogodogo sawa na mtoto wake Regina, unategemea kweli kutakuwa na heshima hapo? ... tayari familia hii ilishajenga concept kwamba msichana huyu kaja kufuata pesa hapa, si kingine, yani kwamba akose wanaume angalau wa rika lake, aje kuangukia kwa mwanaume mwenye rika moja na babaye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi?Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi.Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao.Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shangaa na wewe mwayaaaah maaan me ndo Hadi naona aibu lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika haya mahojiano sijaona point ya msingi kutoka kwa huyo bint, yaaan anaegemea kwa watoto, nmeachwa hoi hapo anaposema hata wanagombana kisa Mali utadhan nyumba 1 kana kwamba watagawa katikati kumbe zipo Mali za kutosha tyuuh, eti wanamkamshifu mumewe na hakuna wa kumtetea Ila ni yey yaan aibu naona mieeeeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lol hapan chezea pesa weyeeeeeeeh Damon uwiiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilivyokuwa kesi ya bilionea Erasto, shauri lita languish mahakamani miaka nenda rudi...

Mahakama ndio zinatuangusha...
 
Back
Top Bottom