Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Unamaanisha aache pesa aende zake?

Mie nilikua narejea tu maandiko wakati wanafunga ndoa wanasema watakua mume na mke hadi kifo kiwatenganishe. Sasa ikiwa mtu ameshafariki hizi malumbano na familia zinatoka wapi? Mara akaone kaburi sijui aweke maua, ndugu wa marehem will take it from there, ikiwa hawamtaki asilazimishe.
 
hahahahahha dada yako kaachwa uchi,kama hakufata maslahi hapo ya nini kudhalilishana kwenye social media?? si asepe tuu...??? kama anadai ana watoto kaachiwa mbona hataki kukubali the fact kwamba Mengi hakua na watoto wakwake peke yake?? kwamba Mengi alikua na watoto wengine besides wa kwake??

Mkuu hakuna kesi kama Jacq alimfuata Mengi kimaslahi na Mengi mwenyewe akakubali. Lilikua jukumu la Mengi mwenyewe kuamua kutumika au lah sio mdogo wake tena baada ya Mengi kufariki.

Kama Jack hakumuua Mengi, which I believe she didn't, na kama Mengi aliandika mirathi kwa jina la Jacq na watoto wao basi ni kituko kwa Bennie kwenda kudai mali na hii keshi atashindwa kabla ya jua la asubuhi.

Watu wameachia urithi watu baki kabisa, wengine wameachia mbwa na paka zao habari gani kwa mama watoto wako. Kama Jacq anataka zaidi ya alichaondikiwa hiyo ndo kesi ila yeye kuwa na Mengi kimaslahi na kudai alichoandikiwa ana haki kabisa.
 
Sijasikiliza intavyuu, ila kama maneno yaliyoandikwa hapo ndivyo intavyuu ilivyokwenda, basi dada anajitambua.

Hatuwezi kumuhukumu kwa maisha aliyoyaishi miaka ya nyuma, watu wanabadilika.

Na isitoshe mali zimerithishwa kwa watoto na sio kwake, na wasimamizi wametajwa. Kama wale watoto wakubwa wamepata 75% kwa nini inakuwa kelele kwa wadogo kupata 25’%
 
Asante mkuu. Nakushukuru kwa uandishi mzuri. Kwanza, sikuchoka kusoma mpk mwisho.
Pili mwandiko unavutia
Tatu umeconvert video kwenda maandishi, hivyo umeokoa bando nililokopa tigo
Nne. NAKUTUNIKIA TUZO YA AMANI YA NOBEL 2020

Sent using Jamii Forums mobile app

Karibu Mkuu. Napokea tuzo hii kwa heshima na taadhima.
 
Kama nitakosea mtanisamehe.
"MZEE MENGI ALIKOSEA KUMUOA HUYO MWANAMKE MBAYA ZAIDI AKATEGESHEWA NA MIMBA"
Alafu copy ikatoka ile ile ya mzee mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mengi alikuwa na craving ya watoto. Imagine unazaa wanao watatu, mmoja anafariki, waliobaki wanafika 40s hata mjukuu hawakupi. Lazima uzae vitoto vingine vya kukufariji kwenye old age.
 
pachanya,

Hawezi kuwatoa maana wana hisa zao binafsi, wana walizoachiwa na mama yao. Atawatoaje?
 
Yani sisi wanaume bana. Mbabu yule kaenda kuoa kadogodogo sawa na mtoto wake Regina, unategemea kweli kutakuwa na heshima hapo? ... tayari familia hii ilishajenga concept kwamba msichana huyu kaja kufuata pesa hapa, si kingine, yani kwamba akose wanaume angalau wa rika lake, aje kuangukia kwa mwanaume mwenye rika moja na babaye?

Sent using Jamii Forums mobile app
Regina ni mkubwa kwa K-lyn kabis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom