Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi dada atakua anapotoshwa na jamaa mwenye njaa
Jack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi?Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi.Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao.Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
Angempenda Mengi angependa na ndugu zake, yeye alikua na maslahi yake, ndugu za Mengi wamemu expose hivyo anachukia...
mwambiane aache kutafuta huruma ya Jamii..
Aache Mahakama ifanye kazi.
Asijifanye na upendo wa Ugape kuliko Ndugu wa Mzee wa Mengi.
Jack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi?Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi.Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao.Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
Kuna siku nlikuwa napiga story na mama mmoja wa mjini mjini sanaaa ila ni muda sana akanipa namna gani Hao walivyokutana. Aise Kuna watu Wanajua kugonganisha magari. Na pia kumbe Kuna mtandao wa uwindaji[emoji23]