Madhara ya kuzaa watoto na mama tofauti tofauti, madhara ya kuwa na wake wengi kwa wakati mmoja ama nyakati tofauti za maisha,
Take it or leave it, ni rahisi kwa mama aliezaa watoto na wanaume tofauti tofauti kuwaunganisha chini ya mwamvuli mmoja na watoto wote wakapendana kuliko baba aliezaa na wanawake tofauti kisha awaweke katika mwamvuli mmoja. Ni ngumu sana, asilimia 99.99% ya wanaume wengi hawawezi unganisha watoto waliozaa na wanawake wa nje, mwanamke anaweza, akizaa na wanaume tano, anaishi na watoto wake wote wa 5 na kiwalea kwa upendo as if wametoka kwa baba mmoja.
Madhara ya ndoa za mtu mzima na binti, tayari una watoto, tayari age go, unaenda kujibana na kabinti kenye umri sawa na watoto wako, abiel na regina ni age-mate sawa na k-lyn so do you see some respect ahead? huweza oa mwanamke rika kama la watoto wako ukitegemea watamuheshimu, never deep down the earth.
Vita ya mirathi haijawahi malizika salama, nadhani ni rahisi sana kumaliza vita ama kesi za madawa kuliko mirathi, kuna kesi ziko mahakamani, 35 years na hazijawahi kuisha, kuna kesi za mirathi zina 20 years, si simple kama watu wanavyofikiria, waliowahi pitia katika kesi hizi wanajua balaa lake.
Wengine wanaweza kusema ametafuta sympathy kwa jamii wengine watasema yuko right, hakuna aliewahi kukosa ama kuwa sahihi katika kuongea, everyone is right before proof, before fact and before judgement. Amefafanua yake ya moyoni, uvumilivu wake umekomea pale (endurance level), now she needs some breath ahead for new battle. Lakini je who knows what the late mengi said? What made benjamin mengi kwenda mahakamani kuweka zuio??? Words ambazo benjamin and regina said?? Hakuna kati yetu anayejua, so why do we judge she is right or she is wrong while its a one sided story? Umesikia na ya upande wa pili?
Neutrality is the better option for this matters, i think its kind of news just like other news, has nothing to do with whata is goong on, as long as alisema kesi iko kwa mahakama lets leave it mahakam waamue sio kesi iamuliwe kupitia exclusive ya millard ayo au majaji na wanasheria wa jamii forum platform.