Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Huu uzi unahitimisha ule msemo kuwa "Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie ".Ladies Jacky sio level zenu hata kesi iendeje maana hela zinazozungumziwa humu sio hela za chai na maandazi au vitumbua.
kudanga ni simple kadangeni kwa matajiri muolewe mzae na nyie tuwadiscuss humu.Jacky ni combination ya mwanamke mzuri mwenye akili na mjanja sema pia naye anamapungufu yake lkn hata na hivyo hayatoi vigezo tajwa.
Mwanamke wa watu hakuwa na show off kabisa maana ingekuwa wengine tungewakoma hapa town. Lady be happy with what you got unayemuonea wivu hujui hata robo ya machungu yake
Bufa,
Nijuavyo Mimi na kwa kesi nilizoshuhudia Wosia ukitenguliwa,haijalishi umri wa Watoto,wote wana haki ya kupata urithi kutoka kwa Baba yao! Nimeshuhudia kesi tatu na zote wosia ulitenguliwa! Hapo pa Benjamini kufungua kesi haijalishi,msingi wa kesi ni urithi kwa Watoto wote!
Ninachoamini pia ni kuwa MENGI alijua kabisa kuwa mapacha wake watapata tabu pindi akifa,alijua aina ya ndugu na familia aliyonayo lakin kubwa alijua mgogoro alioutengeneza baada ya kuamua kumuoa J...Naamini mahakama itasema WOSIA UNAUHALALI GANINijuavyo wosia uliandikwa chini ya Wanasheria wake.
sasa sioni lop hole iko wapi hapo.
KATIKA HALI YA KAWAIDA WATOTO HUWA WANASIDE NA MAMA HILI LIPO WAZI,kama kulikuwa na TALAKA maana yake ni kuwa MALI ILIGAWANYWA...Mzee Mengi sio mjinga aliiona mgogoro uliopo lakini sababu ameshazaa watoto wawili,ilibidi awalinde na mama yao pia kwa KUANDAA WOSIAInavyonekana hwa watoto walisharithi kwa mama yao na pnegine hata wakati mzee anagawana mali na mama inaonekana watoto walishabikia kw amama yao ndio maana mzee kakomaa kuwa mtakula mliko peleka mboga(Ushabiki)
Nijuavyo wosia uliandikwa chini ya Wanasheria wake.
sasa sioni lop hole iko wapi hapo.
Mimi pia naona hivyo koz kuna wakati naskia Mama Mercy alimpeleka Mengi mahakamani baada ya kuona Mengi yupo bizzy na wanawake. Hivyo waligawana fedha kila mtu akapata chake.Inavyonekana hwa watoto walisharithi kwa mama yao na pnegine hata wakati mzee anagawana mali na mama inaonekana watoto walishabikia kw amama yao ndio maana mzee kakomaa kuwa mtakula mliko peleka mboga(Ushabiki)
THERE YOU ARE.....naona watu wanaangalia upande mmoja tu....haya mambo ya familia MUATHIRIKA MKUU ALIKUWA MENGI kwanza hatujui kwa nini walitalakiana na mke wa kwanza,lkn pia issue ya kumpangia mzee aoe nani hapa lazima ndiyo mgogoro ulipoanzia...familia nyingi za kiafrika hupenda kuingilia mahusiano ya watu.NAAMINI MENGI ALIKUWA NA SABABU NYINGI ZA KUANDIKA WOSIA ALIOUANDIKANa vivyo hivyo Mengi mtu aliyejenga makampuni kadhaa hakuweza kukurupuka kuandika wosia bila kuzingatia parameters za sheria. Tusubiri
Kama mambo yako hivi hata Mimi simuungi mkono, sababu Mzee aligawana mali na mkewe na mkwewe akawarithisha wanawe, huo ni upande wa mama, bado upande wa baba, watoto wakubwa wanayo haki ya urithi pia. Japo hutegemea pia na hiyari ya mzeeJack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi? Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi. Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao. Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
Ni muda wa "Return on investment" lazima apambane.
Hii ishu pamoja na kunyimwa kuona kaburi ni mambo serious sana ya kukazia ili kuielewa movie nzima hasa kwenye kipengele cha "kwa nini anaongea na media"!!!LAKINI KUBWA KATIKA MAELEZO YAKE AMEELEZA MARA NYINGI AU AMERUDIA MARA NYINGI KUELEZA KUWA NDUGU PIA WAMSAFISHE MENGI YAANI WASIMSEMEE MABAYA SABABU AMELALA....
AtWala
Ndugu hawana cha kupoteza tena. Waje mitandaoni kutafuta nini, wewe umekuja unainterst zako hapa social network, wao they got nothing here.
Zari atakuja kuona watoto ni mzigo awaachie aende zake akaliwe yaishe, unacheza na wanawake wewe
Unajuajehao watoto wakubwa wa mengi wana matatizo sana, mpaka uzinduzi wa kitabu cha mengi uliohudhuriwa na rais magufuli hawakuwepo , high table yuko jack na watoto wake. imagine! event kubwa hivyo ya baba yenu hamumsapoti, ulitegemea atawaachia urithi wakati walimsusa? hata ingekuwa ni mimi mengi nisingewaachia kitu, hao watoto watakuwa na laana ya baba yao.