Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Huu uzi unahitimisha ule msemo kuwa "Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie ".Ladies Jacky sio level zenu hata kesi iendeje maana hela zinazozungumziwa humu sio hela za chai na maandazi au vitumbua.
kudanga ni simple kadangeni kwa matajiri muolewe mzae na nyie tuwadiscuss humu.Jacky ni combination ya mwanamke mzuri mwenye akili na mjanja sema pia naye anamapungufu yake lkn hata na hivyo hayatoi vigezo tajwa.
Mwanamke wa watu hakuwa na show off kabisa maana ingekuwa wengine tungewakoma hapa town. Lady be happy with what you got unayemuonea wivu hujui hata robo ya machungu yake
Kumbe tumeona wote hili.
hakika hawa viumbe ni nuksi.