Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Huu uzi unahitimisha ule msemo kuwa "Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie ".Ladies Jacky sio level zenu hata kesi iendeje maana hela zinazozungumziwa humu sio hela za chai na maandazi au vitumbua.

kudanga ni simple kadangeni kwa matajiri muolewe mzae na nyie tuwadiscuss humu.Jacky ni combination ya mwanamke mzuri mwenye akili na mjanja sema pia naye anamapungufu yake lkn hata na hivyo hayatoi vigezo tajwa.

Mwanamke wa watu hakuwa na show off kabisa maana ingekuwa wengine tungewakoma hapa town. Lady be happy with what you got unayemuonea wivu hujui hata robo ya machungu yake


Kumbe tumeona wote hili.
hakika hawa viumbe ni nuksi.
 
Numbisa,
Nafikiri pia hujasoma sawa sawa hayo mahojiano...umesahau kuwa hakuna sehemu amesema anataka MALI YOTE,PIA UMESAHAU KUWA WOSIA HAKUANDIKA YEYE.LAKINI KUBWA KATIKA MAELEZO YAKE AMEELEZA MARA NYINGI AU AMERUDIA MARA NYINGI KUELEZA KUWA NDUGU PIA WAMSAFISHE MENGI YAANI WASIMSEMEE MABAYA SABABU AMELALA....Mwisho kuongea kwenye Social Media sioni shida yoyote maana maisha yake na marehemu mume wake yamekuwa yamtandaoni so what a big deal?

haya ni masuala ya kifamilia kuna mgogoro kati ya JACKLINE NA NDUGU ZAKE EVEN BEFORE KIFO CHA MENGI huu mgogoro haukuletwa na JAC ulikuja AUTOMATIC kutokana na mahusiano ambayo ndugu hawakuridhia.MAHUSIANO YA MENGI NA JACK HAYAKUWA YA SIRI NA NI WANANDOA TUHESHIMU HAKI YA JACK TUHESHIMU WOSIA ILA TUTAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA PIA.
 
Bufa,
Nijuavyo Mimi na kwa kesi nilizoshuhudia Wosia ukitenguliwa,haijalishi umri wa Watoto,wote wana haki ya kupata urithi kutoka kwa Baba yao! Nimeshuhudia kesi tatu na zote wosia ulitenguliwa! Hapo pa Benjamini kufungua kesi haijalishi,msingi wa kesi ni urithi kwa Watoto wote!

Inavyonekana hwa watoto walisharithi kwa mama yao na pnegine hata wakati mzee anagawana mali na mama inaonekana watoto walishabikia kw amama yao ndio maana mzee kakomaa kuwa mtakula mliko peleka mboga(Ushabiki)
 
Nijuavyo wosia uliandikwa chini ya Wanasheria wake.
sasa sioni lop hole iko wapi hapo.
Ninachoamini pia ni kuwa MENGI alijua kabisa kuwa mapacha wake watapata tabu pindi akifa,alijua aina ya ndugu na familia aliyonayo lakin kubwa alijua mgogoro alioutengeneza baada ya kuamua kumuoa J...Naamini mahakama itasema WOSIA UNAUHALALI GANI
 
Inavyonekana hwa watoto walisharithi kwa mama yao na pnegine hata wakati mzee anagawana mali na mama inaonekana watoto walishabikia kw amama yao ndio maana mzee kakomaa kuwa mtakula mliko peleka mboga(Ushabiki)
KATIKA HALI YA KAWAIDA WATOTO HUWA WANASIDE NA MAMA HILI LIPO WAZI,kama kulikuwa na TALAKA maana yake ni kuwa MALI ILIGAWANYWA...Mzee Mengi sio mjinga aliiona mgogoro uliopo lakini sababu ameshazaa watoto wawili,ilibidi awalinde na mama yao pia kwa KUANDAA WOSIA
 
Inavyonekana hwa watoto walisharithi kwa mama yao na pnegine hata wakati mzee anagawana mali na mama inaonekana watoto walishabikia kw amama yao ndio maana mzee kakomaa kuwa mtakula mliko peleka mboga(Ushabiki)
Mimi pia naona hivyo koz kuna wakati naskia Mama Mercy alimpeleka Mengi mahakamani baada ya kuona Mengi yupo bizzy na wanawake. Hivyo waligawana fedha kila mtu akapata chake.
 
Na vivyo hivyo Mengi mtu aliyejenga makampuni kadhaa hakuweza kukurupuka kuandika wosia bila kuzingatia parameters za sheria. Tusubiri
THERE YOU ARE.....naona watu wanaangalia upande mmoja tu....haya mambo ya familia MUATHIRIKA MKUU ALIKUWA MENGI kwanza hatujui kwa nini walitalakiana na mke wa kwanza,lkn pia issue ya kumpangia mzee aoe nani hapa lazima ndiyo mgogoro ulipoanzia...familia nyingi za kiafrika hupenda kuingilia mahusiano ya watu.NAAMINI MENGI ALIKUWA NA SABABU NYINGI ZA KUANDIKA WOSIA ALIOUANDIKA
 
Jack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi? Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi. Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao. Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
Kama mambo yako hivi hata Mimi simuungi mkono, sababu Mzee aligawana mali na mkewe na mkwewe akawarithisha wanawe, huo ni upande wa mama, bado upande wa baba, watoto wakubwa wanayo haki ya urithi pia. Japo hutegemea pia na hiyari ya mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LAKINI KUBWA KATIKA MAELEZO YAKE AMEELEZA MARA NYINGI AU AMERUDIA MARA NYINGI KUELEZA KUWA NDUGU PIA WAMSAFISHE MENGI YAANI WASIMSEMEE MABAYA SABABU AMELALA....
Hii ishu pamoja na kunyimwa kuona kaburi ni mambo serious sana ya kukazia ili kuielewa movie nzima hasa kwenye kipengele cha "kwa nini anaongea na media"!!!
 
Mkuu nenda kaungane na wanasheria kupigania haki hake hap hata uandike kwa herufi kubwa hutapata suluhu. Kama maisha yake na mumewe yamekua ya mtandaon basi don't panic na sie tuna haki ya kumjadili tutakavyo. Haki ataipata mahakamani sio kwa wananzengo

Umesema tuheshimu uamuzi wa mahakama na uamuzi umetolewa awali Regina ndie boss na sio Jack

Haki anazotaka jack ni mali zote za mengi ziwe chini yake. Acheni kujificha kwenye kivuli cha ndugu hivi ndugu vile tena ndugu wenyewe hata hawana muda wa kuwajibu.

Ambia boss wako aache kutapatapa,kesi ipo mahakamani papara za nini? Umekimbilia ndoa ndoa, ndoa kwaio ndoa ndo inaua watoto wakubwa wasipate urithi wa baba yao?

Maneno ya ndugu mahakamani hana ushahidi wa kidkatari. Hata sie wananzengo tulivyoziona zile video akichezeshwa hivi mara vile mzee hakua fiti,mara paap kapelekwa zenji kula bata bibie kutaka sifa zaidi kafosi dubai kisha zigo linasukumiwa kwa watoto
assa von micky,
 
Duh mods mpo vizuri tags mnafuta mnaweka mentions tu. Basi mtubadilishie Capital letters za huyu assa von maana huko alipo atakua na jazba sana boss wake kuumbuliwa humu
 
AtWala
Ndugu hawana cha kupoteza tena. Waje mitandaoni kutafuta nini, wewe umekuja unainterst zako hapa social network, wao they got nothing here.

Zari atakuja kuona watoto ni mzigo awaachie aende zake akaliwe yaishe, unacheza na wanawake wewe

Zari tena sio jack?
 
hao watoto wakubwa wa mengi wana matatizo sana, mpaka uzinduzi wa kitabu cha mengi uliohudhuriwa na rais magufuli hawakuwepo , high table yuko jack na watoto wake. imagine! event kubwa hivyo ya baba yenu hamumsapoti, ulitegemea atawaachia urithi wakati walimsusa? hata ingekuwa ni mimi mengi nisingewaachia kitu, hao watoto watakuwa na laana ya baba yao.
 
hao watoto wakubwa wa mengi wana matatizo sana, mpaka uzinduzi wa kitabu cha mengi uliohudhuriwa na rais magufuli hawakuwepo , high table yuko jack na watoto wake. imagine! event kubwa hivyo ya baba yenu hamumsapoti, ulitegemea atawaachia urithi wakati walimsusa? hata ingekuwa ni mimi mengi nisingewaachia kitu, hao watoto watakuwa na laana ya baba yao.
Unajuaje

Pengine walikuwa na majukumu muhimu siku hiyo

Pengine baba yao hskutaka wawepo

Sidhani Kama wanapenda kamera wale Kama huyo Jezebel unaemtetea .

Think in two ways

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom