Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe


Kwamba Mengi hakutaka watoto wake wakubwa wapate chochote kwenye mali zake?

Na wakishinda wapate 1,000? Tukubali kutofautiana kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Case hii k lyn ana nafasi kubwa sana ya kushinda.. ndio maana anakomaa iamuliwe na mahakama sio na vikao vya ndugu nje ya mahakama..

Hoja za mzee Mengi alichanganyikiwa.. itahitaji ripoti ya hospitali. Hapo ndipo patamu
Issue kubwa hapa ni tafsiri ya kisheria ya nini ni mali za Mengi na nini haki za warithi wake na sio dhana kuwa yeye na mkewe wa kwanza 50/50 , hivyo watoto wakubwa walishapata kwa Mama , je cha baba hawana haki nacho?? Na kama wana share kabla ya hapa ,je ina maana walisha pata chao au na hili la share za baba nao wamo??
Tuiachie mahakama wafanya kazi yao na kusikiliza panda husika
 
Naona alitaka makampuni yote ya Mengi yawe yake kwa kigezo anawashikia watoto mpaka wakue
Asantee umemaliza yote,kinachomfanya ayalete kwenye mitandao ni nini? Baada ya kuona Mahakama imempa Regina haki ya kuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP ameanza kuruka ruka,seriously alidhani yeye ndiye angekuwa Mwenyekiti ?
 
Hana haya yule kumuita Regina mwanae wakati alikua bwana wake.
 
Mbwa akiachiwa urithi usiku huo huo tunamchinja tu napika supu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klyn alifikiri watoto wa Mengi wana akili za Kinyaturu au Kimakonde kapatikana huyo Muha those are pure Machemenian, nimewapenda bure hao watoto kwa mtiti wao


Na huo mtiti wao hatatoboa kamwe.. Mfano ukimwona Abidiel ni mpole mno ukija kwa Regina pia watoto waliolelewa kimaadilili yeye analeta mambo yake ya u-star mwache ayakoroge ayanywe.. luck enough mke mwenzie alishatangulia mbele za haki ndio angejua kwanini maji ni maji na sio soda
 
Mzee hapa aliteleza sana.
 
Ila Jackie si useme tu mna vita gani na Ankal Regina.

AHAHAHHAHAHAHA mwe!
heb mimi!
endeleeeni kudanganya walio na account za insta leo!
ila tulio wa daslamkitambo mtuache jamani.
Tuko busy na Sara wa Harmonize!
 
But Msingi wa kesi ndio muhimu hapa,unadhani Benjamin anapinga wosia ili arithi yeye Mali au anapinga wosia ili watoto wote wa Marehemu na Mjane wapate haki kila mmoja kwa mujibu wa Sheria ya Mirathi?
si anajisahaulisha tu huyu!
Unafkr hajui Benjamin anachokitaka? anajipa umaaluni tu
 
kuna mengi ambayo hayajulikani hapo, juzi nimeangalia mahojiano ya ma house girl wa wengi, mmoja anasema mengi wakati anamuaga alisema hana pesa, yani pesa ya chakula kwa ajili ya hizo siku atakazokuwa hayupo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

wam sapoti nini sasa mkuu ,
hiyo sio kama familia zetu , maisha aliyofikia mengi hayakuwa ya kumpa sapoti ya mtu binafsi, yule anasapotiwa na serikali

hata hivo inasemekana mtoto mmoja alikua anamtembelea nyumbani mara nyingi hiyo si ni sapoti tosha ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…