THERE YOU ARE.....naona watu wanaangalia upande mmoja tu....haya mambo ya familia MUATHIRIKA MKUU ALIKUWA MENGI kwanza hatujui kwa nini walitalakiana na mke wa kwanza,lkn pia issue ya kumpangia mzee aoe nani hapa lazima ndiyo mgogoro ulipoanzia...familia nyingi za kiafrika hupenda kuingilia mahusiano ya watu.NAAMINI MENGI ALIKUWA NA SABABU NYINGI ZA KUANDIKA WOSIA ALIOUANDIKA
Kwamba Mengi hakutaka watoto wake wakubwa wapate chochote kwenye mali zake?
Na wakishinda wapate 1,000? Tukubali kutofautiana kwa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app