Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

THERE YOU ARE.....naona watu wanaangalia upande mmoja tu....haya mambo ya familia MUATHIRIKA MKUU ALIKUWA MENGI kwanza hatujui kwa nini walitalakiana na mke wa kwanza,lkn pia issue ya kumpangia mzee aoe nani hapa lazima ndiyo mgogoro ulipoanzia...familia nyingi za kiafrika hupenda kuingilia mahusiano ya watu.NAAMINI MENGI ALIKUWA NA SABABU NYINGI ZA KUANDIKA WOSIA ALIOUANDIKA

Kwamba Mengi hakutaka watoto wake wakubwa wapate chochote kwenye mali zake?

Na wakishinda wapate 1,000? Tukubali kutofautiana kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Case hii k lyn ana nafasi kubwa sana ya kushinda.. ndio maana anakomaa iamuliwe na mahakama sio na vikao vya ndugu nje ya mahakama..

Hoja za mzee Mengi alichanganyikiwa.. itahitaji ripoti ya hospitali. Hapo ndipo patamu
Issue kubwa hapa ni tafsiri ya kisheria ya nini ni mali za Mengi na nini haki za warithi wake na sio dhana kuwa yeye na mkewe wa kwanza 50/50 , hivyo watoto wakubwa walishapata kwa Mama , je cha baba hawana haki nacho?? Na kama wana share kabla ya hapa ,je ina maana walisha pata chao au na hili la share za baba nao wamo??
Tuiachie mahakama wafanya kazi yao na kusikiliza panda husika
 
Naona alitaka makampuni yote ya Mengi yawe yake kwa kigezo anawashikia watoto mpaka wakue
Asantee umemaliza yote,kinachomfanya ayalete kwenye mitandao ni nini? Baada ya kuona Mahakama imempa Regina haki ya kuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP ameanza kuruka ruka,seriously alidhani yeye ndiye angekuwa Mwenyekiti ?
 
Mume wangu, mume wangu , mume wangu, baba watoto wangu, mume wangu kipenzi, kaburi la mume wangu!

Watoto wetu wakubwa na mume wangu, mume wangu na watoto wetu wakubwa[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana haya yule kumuita Regina mwanae wakati alikua bwana wake.
 
Mbwa akiachiwa urithi usiku huo huo tunamchinja tu napika supu yake.
Bufa,
Unaongelea scenarios za Ulaya na USA hapa Tz? Ulishaona wapi hapa Tanzania mbwa akaachiwa Urithi na ikawa hivyo? Ukiona mtu anapiga yowe kwenye mitandao wakati wenzie wako kimya ujue maji yako shingoni! Kwamba kwakuwa watoto wakubwa walipewa shares za Mama yao basi hawana haki ya shares za Baba yao,hapo ndipo penye mtihani,kama unazijua vizuri sheria za mirathi za Tanzania! Yeye apunguze tamaa,haki yake na watoto wake atapata lkn sio kama anavyowish yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klyn alifikiri watoto wa Mengi wana akili za Kinyaturu au Kimakonde kapatikana huyo Muha those are pure Machemenian, nimewapenda bure hao watoto kwa mtiti wao


Na huo mtiti wao hatatoboa kamwe.. Mfano ukimwona Abidiel ni mpole mno ukija kwa Regina pia watoto waliolelewa kimaadilili yeye analeta mambo yake ya u-star mwache ayakoroge ayanywe.. luck enough mke mwenzie alishatangulia mbele za haki ndio angejua kwanini maji ni maji na sio soda
 
Jack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi? Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi. Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao. Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
Mzee hapa aliteleza sana.
 
Ila Jackie si useme tu mna vita gani na Ankal Regina.

AHAHAHHAHAHAHA mwe!
heb mimi!
endeleeeni kudanganya walio na account za insta leo!
ila tulio wa daslamkitambo mtuache jamani.
Tuko busy na Sara wa Harmonize!
 
But Msingi wa kesi ndio muhimu hapa,unadhani Benjamin anapinga wosia ili arithi yeye Mali au anapinga wosia ili watoto wote wa Marehemu na Mjane wapate haki kila mmoja kwa mujibu wa Sheria ya Mirathi?
si anajisahaulisha tu huyu!
Unafkr hajui Benjamin anachokitaka? anajipa umaaluni tu
 
kuna mengi ambayo hayajulikani hapo, juzi nimeangalia mahojiano ya ma house girl wa wengi, mmoja anasema mengi wakati anamuaga alisema hana pesa, yani pesa ya chakula kwa ajili ya hizo siku atakazokuwa hayupo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hao watoto wakubwa wa mengi wana matatizo sana, mpaka uzinduzi wa kitabu cha mengi uliohudhuriwa na rais magufuli hawakuwepo , high table yuko jack na watoto wake. imagine! event kubwa hivyo ya baba yenu hamumsapoti, ulitegemea atawaachia urithi wakati walimsusa? hata ingekuwa ni mimi mengi nisingewaachia kitu, hao watoto watakuwa na laana ya baba yao.

wam sapoti nini sasa mkuu ,
hiyo sio kama familia zetu , maisha aliyofikia mengi hayakuwa ya kumpa sapoti ya mtu binafsi, yule anasapotiwa na serikali

hata hivo inasemekana mtoto mmoja alikua anamtembelea nyumbani mara nyingi hiyo si ni sapoti tosha ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom