Alafu anakuja mtu anasema tu amuonea wivu jack[emoji1784][emoji1784]!..mimi binafsi simuonei wivu...hata tupewe aina moja ya biashara hawez hata nukta yule!..ww mtu umekulia kwenye mishe hizo uzoefu unaukosaje?hapa tunaongea in reality hatumuonei wivu as na sisi tunamaisha yetu na umaskini wetu ila mali za kurithiwa huwa huchukui round!..
Mie ningemganda Regina ar first awe rafiki yangu hata kwa uongo na kweli..ulearn somethng .sasa yeye kuutwa safarini kula bata!...lmao
Like serious?[emoji134]Hana haya yule kumuita Regina mwanae wakati alikua bwana wake.
Hii statement imerudiwa kuliko hata kiini cha interview [emoji848]
Mji mkubwa huu
yeye anapinga kama nani? maana kina Reginna umri wao unaruhusu kufungua kesi...........But Msingi wa kesi ndio muhimu hapa,unadhani Benjamin anapinga wosia ili arithi yeye Mali au anapinga wosia ili watoto wote wa Marehemu na Mjane wapate haki kila mmoja kwa mujibu wa Sheria ya Mirathi?
Umeshapewa limbwata wewe na akili yako imeshaliwa na mchwa , kabla ya ndoa si ulilelewa mjinga wewemkuu i second you! watu wanaongea kama vile hawajaoa/olewa!.....
eti unaiambie ndugu zangu wananipenda kuliko mke wangu nitakushangaa sana, yani shida zote zangu yeye ndiye anahangaika nazo usiku na mchana, then out of no where waseme wao ndio wananipenda kuliko wife?
hapa watu wanaongozwa na wivu ila sio logic.... eti mitoto ya 40+ imenyang'anywa baba yao, how?
Ukiicheki ile interview kwa kina unaeza ilaani pesa!Nimecheka
Nimecheks sana mkuu,dah.
hahahhaaaaa mkuu kulikua na rumours kwamba mama alitaka kum-wahisha mzee housegirl ndio aliokoa jahazi!THERE YOU ARE.....naona watu wanaangalia upande mmoja tu....haya mambo ya familia MUATHIRIKA MKUU ALIKUWA MENGI kwanza hatujui kwa nini walitalakiana na mke wa kwanza,lkn pia issue ya kumpangia mzee aoe nani hapa lazima ndiyo mgogoro ulipoanzia...familia nyingi za kiafrika hupenda kuingilia mahusiano ya watu.NAAMINI MENGI ALIKUWA NA SABABU NYINGI ZA KUANDIKA WOSIA ALIOUANDIKA
This woman is stupidJack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi? Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi. Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao. Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
yeye anapinga kama nani? maana kina Reginna umri wao unaruhusu kufungua kesi...........
mkuu, kwanini unanitukana wakati sijaku-quote wewe? unasemaje nililelewa wakati hunijui?.......Umeshapewa limbwata wewe na akili yako imeshaliwa na mchwa , kabla ya ndoa si ulilelewa mjinga wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
vyema, ahsante kwa taarifa!...... sijui kisheria imekaaje!Benjamin ni mlezi wa familia.
Na msimamizi wa mirathi aliyechaguliwa na ukoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimecheka kweli hiyo ya kumuonea wivu jack kwa lipi jamani.
What a coincidence, shortly after writing such a bitter will he died.Okay jackie ana matatizo yake na historia chafu. Ila ni wazi kulikuwa na matatizo makubwa kimahusiano kati ya watoto wakubwa na marehemu ambayo hatuyajui kwa upana!!!
Sasa sheria pembeni, kwenye ishu za mila za wengi wetu, mzazi akifa na kuacha usia wa kinyongo (grudge) halafu mkafosi kuubadilisha, hiki ni chanzo maarufu sana cha laana kwenye mali ya urithi. Ule usia umeandikwa na marehemu akiwa bitter sana na hakutaka kuugusa kubadili hadi umauti. Kwa hiyo haya mambo wasiangalie asilimia100 mahakamani tu !!! Waangalie mustakabali mpana na vile vile kuokoa roho sinazoweza kupotea kwenye hii vita. Ikiwezekana watu wenye busara washirikishwe si mahakama tu !!!