Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Mimi nimecheka kweli hiyo ya kumuonea wivu jack kwa lipi jamani.
Alafu anakuja mtu anasema tu amuonea wivu jack[emoji1784][emoji1784]!..mimi binafsi simuonei wivu...hata tupewe aina moja ya biashara hawez hata nukta yule!..ww mtu umekulia kwenye mishe hizo uzoefu unaukosaje?hapa tunaongea in reality hatumuonei wivu as na sisi tunamaisha yetu na umaskini wetu ila mali za kurithiwa huwa huchukui round!..
Mie ningemganda Regina ar first awe rafiki yangu hata kwa uongo na kweli..ulearn somethng .sasa yeye kuutwa safarini kula bata!...lmao
 
Ajabu sana kuwaita watu wazima wa rika lako eti "watoto wetu". It's totally absurd in every sense. Naona huyu mdada katumia kauli ya "watoto wetu" akimaanisha watu wazima kiumri pengineo kumzidi hata yeye mwenyewe makusudi kama rhetorical leverage ya kuonyesha kuwa walengwa wajione wana inferior social status ukilinganisha na yeye binafsi. It makes you wonder the kind of arrogance she has in her to come up with this kind of stuff. Utalazimishaje kuwaita watu wazima eti "watoto wetu" wakati presumably wao wenyewe hawakuchuklulii kabisa kama mzazi wao au hata mother figure?
 
But Msingi wa kesi ndio muhimu hapa,unadhani Benjamin anapinga wosia ili arithi yeye Mali au anapinga wosia ili watoto wote wa Marehemu na Mjane wapate haki kila mmoja kwa mujibu wa Sheria ya Mirathi?
yeye anapinga kama nani? maana kina Reginna umri wao unaruhusu kufungua kesi...........
 
mkuu i second you! watu wanaongea kama vile hawajaoa/olewa!.....


eti unaiambie ndugu zangu wananipenda kuliko mke wangu nitakushangaa sana, yani shida zote zangu yeye ndiye anahangaika nazo usiku na mchana, then out of no where waseme wao ndio wananipenda kuliko wife?


hapa watu wanaongozwa na wivu ila sio logic.... eti mitoto ya 40+ imenyang'anywa baba yao, how?
Umeshapewa limbwata wewe na akili yako imeshaliwa na mchwa , kabla ya ndoa si ulilelewa mjinga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THERE YOU ARE.....naona watu wanaangalia upande mmoja tu....haya mambo ya familia MUATHIRIKA MKUU ALIKUWA MENGI kwanza hatujui kwa nini walitalakiana na mke wa kwanza,lkn pia issue ya kumpangia mzee aoe nani hapa lazima ndiyo mgogoro ulipoanzia...familia nyingi za kiafrika hupenda kuingilia mahusiano ya watu.NAAMINI MENGI ALIKUWA NA SABABU NYINGI ZA KUANDIKA WOSIA ALIOUANDIKA
hahahhaaaaa mkuu kulikua na rumours kwamba mama alitaka kum-wahisha mzee housegirl ndio aliokoa jahazi!


hii tetesi kuna miaka ilitamba sana, mzee akaamua avunje ndoa!
 
Jack hana akili kabisa,anataka wafute kuwa Mengi alikuwa na cognitive problems ili ashinde kesi ya urithi? Yaani ameishi na Mengi kwa miaka 9 basi anajiona kama kashiriki kutafuta mali na Mengi. Jack anataka Mengi asiwagawie hata mia wanae wakubwa eti kisa walipata share kwa mama yao. Sasa hawastahili kupata share kutoka kwa baba yao?
This woman is stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke wa umri wake hadi kujiona self-appointed mom wa watu wazima and that in the midst of a huge legal conflict na hao hao "watoto wake", that says a lot about what kind of corrupt person she really is.
 
Ndjabu Da Dude, Ofcoz kijamii ni watoto wa jacky wale. wapende wasipende! baba yangu hata akioa mke mdogo kwangu bado nitamwita mama mdogo! siwezi kukwepa hili!

alafu watakua wajinga kumchukia Jacky kwa hilo, maana baba ndiye muoaji..... kwani jacky alijipeleka au alipelekwa na mengi?
 
Umeshapewa limbwata wewe na akili yako imeshaliwa na mchwa , kabla ya ndoa si ulilelewa mjinga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, kwanini unanitukana wakati sijaku-quote wewe? unasemaje nililelewa wakati hunijui?.......

wakati mwingine sio lazima kila kitu ujibu, wengine ndoa zetu zina amani na tunaishi kwa furaha na wake zetu!,

my best friend ever is my wife,......
 
Mimi nimecheka kweli hiyo ya kumuonea wivu jack kwa lipi jamani.

Ndo waja wanasema humu....kuna mdada i used to love her a lot na hustle zake..suddenly nimemsahau jina..huyu dada yy nakumbuka alikua anaorganize hizi trips za kwenda nje sijui china ..!

Alikua anaoneshwa sana clouds enzi ya Ruge...honestly yule mm ndo naweza mtetemekea....maana alishajibrand sana na biashara yake.

Hela ya kupewa haina hata raha ..yaani binafsi hajanifanya nimuonee wivu hata kidg..apambane tu na maugomvi aloyaanzisha!
 
Okay Jackie ana matatizo yake na historia chafu. Ila ni wazi kulikuwa na matatizo makubwa kimahusiano kati ya watoto wakubwa na marehemu ambayo hatuyajui kwa upana!!!

Sasa sheria pembeni, kwenye ishu za mila za wengi wetu, mzazi akifa na kuacha usia wa kinyongo (grudge) halafu mkafosi kuubadilisha, hiki ni chanzo maarufu sana cha laana kwenye mali ya urithi. Ule usia umeandikwa na marehemu akiwa bitter sana na hakutaka kuugusa kubadili hadi umauti.

Kwa hiyo haya mambo wasiangalie asilimia100 mahakamani tu! Waangalie mustakabali mpana na vile vile kuokoa roho sinazoweza kupotea kwenye hii vita. Ikiwezekana watu wenye busara washirikishwe si mahakama tu!
 
Okay jackie ana matatizo yake na historia chafu. Ila ni wazi kulikuwa na matatizo makubwa kimahusiano kati ya watoto wakubwa na marehemu ambayo hatuyajui kwa upana!!!

Sasa sheria pembeni, kwenye ishu za mila za wengi wetu, mzazi akifa na kuacha usia wa kinyongo (grudge) halafu mkafosi kuubadilisha, hiki ni chanzo maarufu sana cha laana kwenye mali ya urithi. Ule usia umeandikwa na marehemu akiwa bitter sana na hakutaka kuugusa kubadili hadi umauti. Kwa hiyo haya mambo wasiangalie asilimia100 mahakamani tu !!! Waangalie mustakabali mpana na vile vile kuokoa roho sinazoweza kupotea kwenye hii vita. Ikiwezekana watu wenye busara washirikishwe si mahakama tu !!!
What a coincidence, shortly after writing such a bitter will he died.
 
Back
Top Bottom