Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Mimi nimecheka kweli hiyo ya kumuonea wivu jack kwa lipi jamani.
Alafu anakuja mtu anasema tu amuonea wivu jack[emoji1784][emoji1784]!..mimi binafsi simuonei wivu...hata tupewe aina moja ya biashara hawez hata nukta yule!..ww mtu umekulia kwenye mishe hizo uzoefu unaukosaje?hapa tunaongea in reality hatumuonei wivu as na sisi tunamaisha yetu na umaskini wetu ila mali za kurithiwa huwa huchukui round!..
Mie ningemganda Regina ar first awe rafiki yangu hata kwa uongo na kweli..ulearn somethng .sasa yeye kuutwa safarini kula bata!...lmao