Of course Yes. Mengi ameishi na Regina na Abdiel akiwaona kila siku zaidi ya miaka 45. Does it make any sense awachukie kiasi cha kuandika eti wapewe Tsh 1,000 kama watakuja kudai kitu. Yaani awachukie kisa ana mapacha na Jackline?Du mkuu we kweli una inside info. Ule usia umeandikwa kwa chuki sana. Kama kweli Jackline kafoji ule usia basi mahakamani uta back fire abaki akiimba crazy over you !!!
Mkuu nakuheshimu ila sasa hii too much. Kuna mahali ninetamka neno UCHAWI?Tofautisha “MILA” na “UCHAWI”!
Two different things,get that in your head mzee!
Unachanganya changanya concepts tu hapa!
Anajifanya wosia hajui na hakupenda kuzungumza na marehemu kuhusu mali lakini ukimsikiliza kwa makini tayari alishazungumza na mumewe kuhusu hiyo asilimia 50 ya mama yao (which means alishazungumzia mali before jamaa kufariki)Ndio maana waswahili wanasema alihusika kuandika ule wosia maana alitaka wakubwa wasipate sababu tayari walishapata kwa Mama hivyo 50 iliyobaki ni yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwann ufikirie Mali ya baba kwann na wew usitafute zako?????Duh nimechoka hapo tu aliposema eti mali ziligawana 50/50 na 50 ya mama mercy ikawa ya watoto wawaili Regina na kaka yake [emoji23] na 50 nyingine hiwe ndio ya mengi, kitu ambacho ujui mali ya baba ni ya watoto wote hata kama baba na mama wamegawana lakini kile nusu ya baba ni ya watoto wote Mama anaweza kuolewa huko na mali akazipoteza kizembe kwaiyo mm kama mtoto siwezi kutegemea mali ya mama yangu maisha yangu yote mali ni ya baba, BABA anagawia mali watoto na mke,
Acha ujinga mkuu! Kwani uyu dem na yeye si anafukuzia urithi apo au ni zake? Sisi masikini tutulie jamaa angu yani mzee wako awe na mali alafu wewe ukubali mwanaume mwengine aje kutumia jasho la mzee wako na wewe upo? Maana dem mwisho wa siku atakuwa na mwanaume unafikiri nini kitatokea na hapo ao wakubwa wanapambania mali za wadogo zao na baba yao... Ila uyo gal ni mwizi kama wezi wengineNa kwann ufikirie Mali ya baba kwann na wew usitafute zako?????
Hiz mambo za kurith ndio zinafanyaga watu weng kuwa dumavu kiakil
kilicho akilini kitumie
hahah!
Hivi alisema hata wakishinda wapewe shilingi 1/= ??
Dah!
Ule wosia ni purely MENGI kaandika, maana hii stahili ya 1/= ni yake kama alivyompeleka Rostam Mahakamani akaenda kudai 1/=.
Anajifanya wosia hajui na hakupenda kuzungumza na marehemu kuhusu mali lakini ukimsikiliza kwa makini tayari alishazungumza na mumewe kuhusu hiyo asilimia 50 ya mama yao (which means alishazungumzia mali before jamaa kufariki)
Sio ujinga Kama wangekuwa na akil wakat mama yao ana gombana na baba yao wasingekuwa upande wa mama yao.Acha ujinga mkuu! Kwani uyu dem na yeye si anafukuzia urithi apo au ni zake? Sisi masikini tutulie jamaa angu yani mzee wako awe na mali alafu wewe ukubali mwanaume mwengine aje kutumia jasho la mzee wako na wewe upo? Maana dem mwisho wa siku atakuwa na mwanaume unafikiri nini kitatokea na hapo ao wakubwa wanapambania mali za wadogo zao na baba yao... Ila uyo gal ni mwizi kama wezi wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia hata hicho cha baba baada ya kutoa kile cha mama bado walishiriki kikamilifu katika kukitafuta kwa kuwa walikuwa sehemu ya biashara ya familiaIssue kubwa hapa ni tafsiri ya kisheria ya nini ni mali za Mengi na nini haki za warithi wake na sio dhana kuwa yeye na mkewe wa kwanza 50/50 , hivyo watoto wakubwa walishapata kwa Mama , je cha baba hawana haki nacho?? Na kama wana share kabla ya hapa ,je ina maana walisha pata chao au na hili la share za baba nao wamo??
Tuiachie mahakama wafanya kazi yao na kusikiliza panda husika
Ya kunyimwa kuona kaburi nadhani anaikuza tu, kiungwana kama unakwenda sehemu ambako kuna mwenyeji wako lazima utoe taarifa tu jamani ndugu zangu nitapita kuona kaburi la mzee hasa kwenye nyumba zenye mageti hizi sio kwenda tu. Hata yeye ameishi nyumba za mageti huwa mtu huendi tu kisa tu pale ni kwa ndugu yako lazima utauliza kwanza kama wapo nyumbani then unapita (maana ukienda mara 2 ama 3 bila hata kusema "hello" kwa mwenyeji wako tayari wewe utakuwa una tatizo)Hii ishu pamoja na kunyimwa kuona kaburi ni mambo serious sana ya kukazia ili kuielewa movie nzima hasa kwenye kipengele cha "kwa nini anaongea na media"!!!
Ukimnyima mwanao urithi bila kuwa na sababu yoyote,Hii ni elimu mpya kabisa kwangu. Shukrani sana.
Inamaana nnaweza kuandika na kutoa maelekezo yote kuhusu mgao wa mali zangu siku nikitwaliwa na bado mambo yakafanyika ndivyo sivyo?
Unaweza kuweka japo kwa uchache tu vitu gani vinaweza kupelekea wosia kutenguliwa?
Yes uko correct!!!..Tena Mengi Ana 1% share kuna kitu as family waliamua kutengeneza inaitwa Reginald Mengi family Trust ambayo ndio ina share karibia 99%...huku Mzee machache akibakia na hiyo 1%frama,
Mkuu hebu fafanua kidogo hapa,maana sijakuelewa kwamba total ni 150%? (Mercy 50%,Mengi 50% na Nguma 50%) Au ulimaanisha Mercy 50% (Mengi na Nguma kwa pamoja walikuwa na 50%) ambayo inaleta 100%?
Otherwise mengine tuko pamoja kabisa,hakuna janja ya kuvuna asiponda huyu Mjane wa mwendokasi,asubiri haki yake inayomstahili na siyo hiyo ya wosia wa kitapeli aliouandaa!
Yes uko correct!!!..Tena Mengi Ana 1% share kuna kitu as family waliamua kutengeneza inaitwa Reginald Mengi family Trust ambayo ndio ina share karibia 99%...huku Mzee machache akibakia na hiyo 1%